Leo ni siku ya furaha na nderemo nchini Zimbabwe, hasa kwa familia ya Rais Robert Gabriel Mugabe,ambapo Bona Mugabe atafunga ndoa. Bona Mugabe ni mtoto mkubwa na binti pekee wa Rais Mugabe. Anafunga ndoa na Bwana Simba Chikore ambaye ni Rubani.
Ndoa husika itafanyika katika Jumba binafsi la Rais Mugabe lililopo Borrowdale Brooke.
Hongera Rais Mugabe,hongera Bona Mugabe!
Chanzo: DW na vyombo vinginevyo