figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?
Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.
Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA
Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
Hapa chini ni Taarifa ya Kikao cha Kamati tendaji Kanda ya Pwani, kilichofanyika siku ya jana April 5 2025, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kanda Mh.Boniface Jacob