Nawapongeza sana!
Thank you darling..
Nafurahi kusikia kuwa umeridhishwa na huduma niliyokupatia..
Kuhusu shindano! Aisee hongera sana mpenzi wangu, we ni mwanamke imara na jasiri kweli kweli!!
Sijui kina watu8 walitumia technique gani kutuover take at last..(i guess ni the use of multiple ID's)
makamanda wa ukweli Mamndenyi and Baba V! Asanteni sana kwa big support yenu mliotupa..
Nawashukuru pia wadau waliokuwa wakitupa moyo na kutujengea hamasa zaidi!
Kiranga, chama, ZeMarcopolo, masopakyindi, mwallu, na wengine pamoja na wale wa support za kutoka ndani ya mioyo yao.
Naamini team yetu ndiyo ilikuwa team pendwa!!
Mbarikiwe wote!!
Narudi nyumbani sasa...kwetu kusini.
Asante mno..ulinifundisha vyema sana!!
thank you..about vitalu tutajuzana tu
Ok poa
Kila la kheri sana.
Sijui kina watu8 walitumia technique gani kutuover take at last..(i guess ni the use of multiple ID's)
Ha ha ha!!!
Ni marafiki tu ndio walioamua dakika za mwisho...wao ni mashahidi...
Safari njema mkuu ukiwa warudi Somanga, Msimbati na kwingineko huko...
Mungu akutangulie!!!
unachokifikiria ndicho mlicho kifanya..!
Btw, usafiri salama na Mungu akutangulie katika safari yako.
hakuna aliyeniangusha ni kiduchu sana mmepita nacho na hatukutumia nguvu nyingi tungefanya mliyoyafanya wallah BP zingewapanda
btn nampongeza hny wangu kiwatengu kafanya kazi nzuri sana