Bomu lalipuka Oslo-Norway karibu na ofisi ya PM

Well, mkuu kama nilivyosema kwenye post yangu ya kwanza, nimesema habari za awali. Habari hizo ziko kwenye Guardian ya uingereza na nimeweka pale link yake.

I agree with you kuwa kwenye ukweli uongo hujitenga, sitaki watu waelewe lolote kutokana na nilichoelewa, sitaki ku-impose ideas zangu kwenye vichwa vya watu. Na sitaki kudanganya mtu yoyote. Ninamheshimu mtu yoyote kwa maoni yake awe anajiita mlokole, mpagani au whatever, as long as haui na hasumbui watu. Nakuomba usome hiyo link kuhusu habari za Anders Behring Breivik, hakuna mahali ilipohusishwa Biblia na wala quote kutoka kwenye biblia, imesemwa tu kuwa jamaa ni Christian fundamentalist aliyekuwa na ajenda ya kuanzisha christian war.

Anders Behring Breivik: profile of a mass murderer | World news | The Observer naomba usinishambulie, sijatoa ideas zangu na opinion zangu kuhusu huyu jamaa. Nilichomba ni kuwa tuangalie kama mambo haya yanaweza kulata matatizo hapa kwetu.
mkuu nilisasema hapa... uwezo wetu unaishia kwenye kusoma vichwa vya habari na kuja na majumuisho!! Ndio Watanzania sisi... tunaojisifia hapa jamvini kuwa tu wenye fkra pevu!!! Ila usijali wataiona hiyo link kwenye TV kama watapata muda huo!! vinginevyo utaendelea kuwa mhanga wa habari hiyo... Ila jamaa ameua bila huruma na saluti amepigiwa...
Jiulize mpaka ananunua miipuko ile bila kushukiwa kisha watu wanajisifia kwamba wamedhibiti ugaidi!!! Tatizo ni kuwa wanadamu wengi TUNATAZAMANA na KUHUKUMIANA bila ya KUFIKIRI.
 
Well, mkuu kama nilivyosema kwenye post yangu ya kwanza, nimesema habari za awali. Habari hizo ziko kwenye Guardian ya uingereza na nimeweka pale link yake.

I agree with you kuwa kwenye ukweli uongo hujitenga, sitaki watu waelewe lolote kutokana na nilichoelewa, sitaki ku-impose ideas zangu kwenye vichwa vya watu. Na sitaki kudanganya mtu yoyote. Ninamheshimu mtu yoyote kwa maoni yake awe anajiita mlokole, mpagani au whatever, as long as haui na hasumbui watu. Nakuomba usome hiyo link kuhusu habari za Anders Behring Breivik, hakuna mahali ilipohusishwa Biblia na wala quote kutoka kwenye biblia, imesemwa tu kuwa jamaa ni Christian fundamentalist aliyekuwa na ajenda ya kuanzisha christian war.

Anders Behring Breivik: profile of a mass murderer | World news | The Observeraomba usinishambulie, sijatoa ideas zangu na opinion zangu kuhusu huyu jamaa. Nilichomba ni kuwa tuangalie kama mambo haya yanaweza kulata matatizo hapa kwetu.

Mkuu nimeshaisoma hiyo link na nyingine mbili zinazohusiana na huyu bwana pia tangu jana nimekuwa nafuatilia sana hii habari ya kusikitisha kwenye BBc na Aljazeera. Wamemwita Fundamentalist Christian lakini haimaanishi ni Mlokole bali extremist ambaye alishatofautiana na kanisa lake kwa ku support multiculturalism dhana ambayo huyu bwana alikuwa anaichukia sana.
Pia huyu bwana alikuwa na tabia ya kupenda war and violet games and movies kwa hiyo Mkristo mwenye hofu ya Mungu siyo rahisi sana ku- admire fujo, ubaguzi n.k. In essence huyu jamaa alichanganya imani na ubaguzi wa rangi kama ambavyo waliwahi fanya hivyo makaburu wa Afrika ya kusini wakati wa era ya apartheid. Huyu namfananisha sana na wale wanaojitoa mhanga kwa kusingizia ni mafundisho ya Kiislam wakati uislam ni amani na ni dini ya amani.
 
mkuu nilisasema hapa... uwezo wetu unaishia kwenye kusoma vichwa vya habari na kuja na majumuisho!! Ndio Watanzania sisi... tunaojisifia hapa jamvini kuwa tu wenye fkra pevu!!! Ila usijali wataiona hiyo link kwenye TV kama watapata muda huo!! vinginevyo utaendelea kuwa mhanga wa habari hiyo... Ila jamaa ameua bila huruma na saluti amepigiwa...
Jiulize mpaka ananunua miipuko ile bila kushukiwa kisha watu wanajisifia kwamba wamedhibiti ugaidi!!! Tatizo ni kuwa wanadamu wengi TUNATAZAMANA na KUHUKUMIANA bila ya KUFIKIRI.

Nakupata mkuu, ni kweli ndio maana kuna siku Mkapa alituita wavivu wa kufikiri, kuna wakati naona hakukosea kwa kuwa kuna baadhi yetu wanam-prove right, nimejaribu kupitia tovuti za magazeti manne au matano naona wote wanasema hayo niliyoweka kwenye post yangu. Sasa sijui kwanini jamaa wananifanya niwe mhanga, wakati si mimi niliyeandika habari hiyo. Lakini kama ulivyosema wanaosoma vichwa vya habari tu, ndio wanaobisha.
Nimekuwa nikifuatilia habari hii toka ilipovunjika. Mwanzoni naona waandishi wa habari wa magharibi walikuwa wanasita kumwita huyu jamaa kuwa ni gaidi, nadhani kwa kuwa si mwarabu wala mwislamu. Lakini sasa naona watu wamerudi kwenye akili zao na kumwita jina analostahili, kwa kuwa vitendo vyake haitofautiani na magaidi wengine. Hadi baraza la usalama limemwita gaidi.
 
Mkuu ukiangalia hakuna wakristo wenye siasa kali, hakuna term kama hiyo kwenye ukristo, ni tofauti na dini nyingine ambazo siasa ni sehemu ya dini. Ukristo siasa si sehemu ya dini. Kwa hiyo ukisikia Christian fundamendalist usije ukadhani ni mkristo mwenye siasa kali, be assured kuwa ni mlokole huyo.

Christian fundamendalist aka mlokole[/QUOTE]

Fundamentalist Christians kama ulivyoiweka "MLOKOLE" ni sawa lakini kwa maana ya huyu muuaji siyo Mlokole kwani walokole wanajua kabisa kuna Ten commandments ambazo ni basis ya imani yao na wana observe kwa kadiri wanavyoweza. Katika hizi Ten commandments kuna amri ina sema "USIUE" na sehemu nyingine mafundisho ya Kikristo yanasema ukimchukia ndugu yako ni sawa na UUAJI. Walokole wengi huwa wana struggle kumtii Mungu na kumpenda jirani yako kama nafsi.

Huyu muuaji anadanganya tu kwani hata mimi ni mara ya kwanza kuusikia u-fundamentalism wa namna kwa upande wa Christians. Mi nahisi huu ni aina ya Ukristo ambao si ule ninao ufahamu kwani Ukristo sahihi ni ule unaofundishwa katika kitabu kitakatifu cha BIBLIA ambacho nahisi huyu Bwana amekigeuza kwa jinsi atakavyo au hajasoma kabisa kwani msingi mkubwa wa Biblia ni Upendo na upendo huvumilia na hautafuti mambo binafsi kama alivyofanya huyu Muuaji.
 
Mkuu unajua hata magaidi wanaua wakisema "allah u akbar" tena wanaweza kuchinja watu kwa kunukuu msahafu, in fact wanajificha kwenye dini na kutumia mwamvuli wa dini, kufanya maovu. waislamu wengine pia wanasema huo sio uislamu wa kwenye quran. INawezekana huyu jamaa wanaweza kumdisown kwa kisingizio hichohicho.

Ninawafahamu walokole wengi na ninaishi nao, so i know who are they and what they do.
 
Some time unaweza kuzinduka usingizini ukatoa post hapa ukafikiri nayo ni habari kumbe ni ndoto zimekuchanganya.
Kwanza nikueleze mtoa mada haiwezekani mtu kuwa FREEMASONS at the sometime akawa MLOKOLE kwani hivi viwili havitengamani ni kama kaskazini na kusini au mashariki na magharibi. Hiyo kwanza naku proof wrong.

Unless utanitafsiria una maana gani kusema MLOKOLE lakini kama una maanisha 'A BORN AGAIN CHRISTIAN" You're absolutelly wrong kwani FREEMASON ni Imani na pia mtu ambaye ni mlokole kwa maana ya kuwa Born againi pia ana anacho amini.

Nasema uko wrong kwa sababu mtu hawezi kuwa na Imani mbili kwa pamoja.Yaani mtu hawezi kuwa fundamentalist Islam at the same time akawa fundamentalist Christian kwa wakati huo huo. FREEMASON ni kinyume cha kuwa CHRISTIAN kwani Christians adui wao mkubwa ni shetani while freemasons ni wafuasi wa dini ya kishetani.

Katika spiritual implication"Biblia inasema ufalme ukifitiniana wenyewe kwa wenyewe hauwezi kusimama kwa hiyo nafsi moja haiwezi kuwa na falme mbili ambazo ziko antagonistic kama unavyotaka kudanganya. Imani iko moyoni kama siyo Rohoni hebu tell me ni kwa vipi moyo mmoja unaweza ku accommodate two antagonistic faith na zika work. Katika hali ya unafiki mtu anaweza kujidai ni Christian na at the same time siyo kweli lakini in the long run huwa ukweli na uongo hujitenga na inakuwa revealed kwamba huyu si wa mrengo huu bali ule.
I'm sure physically and spiritually you're wrong na sijaelewa unataka watu waelewe nini hapa othewise unataka kuonyesha jinsi haya mambo ya kiroho yamekupita mbali na you unahitaji msaada.

Freemasons ni wafuasi wa shetani? Habari umezipata wapi hizi ?

Au ndio zile hadithi za utotoni kwamba "magari ya msalaba mwekundu ni ya nyonya damu" ?
 
Kwa hiyo huyo kijana wa Norway Gaidi au sio si Gaidi, mwenye jibu naomba jibu!
 
Mwenye jibu naomba jibu! Kwa hiyo huyu kijana na gaidi au sio gaidi
 
Mauaji ya Utøya (picha za Joakim Vars Nilsen)Hawa vijana wameuawa kwenye summer camp ya Labour Party (Utøya, nje kidogo ya Oslo) baada ya mlipuko wa bomu Oslo. Polisi wanasema aliyefanya unyama huu (mnorwegian) pia amehusika na mlipuko wa bomu.View attachment 34267Sick photo of killer in action, be warned... #oslo #oslobombView attachment 34268These people are laying dead along the shore of the island. 20-30 unofficially reported dead. It hurts so bad. #oslo #oslobombView attachment 34270Kids desperately swimming away from the island. #oslo #oslobomb
Huyu alifanya haya mauaji ni Gaidi wa kikiristo
 
nimejaribu kufuatilia kwa makini source mbalimbali haya mauaji ya kutisha aliyofanya huyu suspect lakini ukiangalia kwa undani serikali ya Norway ilipuuzia alert mbalimbali alizoonyesha huyu bwana Behring Breivic, ikiwemo kuandika makala za kutisha juu ya policy za Norway, then ishu ya kujadili sio kwamba ni mlokole or whatever swali la msingi ni je sera zetu hapa Tz na serikali jinsi inavyoshughulikia maswala ya msingi haiwezi sababisha kuibuka kwa watu kama Behring Breivic?
 
Kwa hiyo huyo kijana wa Norway Gaidi au sio si Gaidi, mwenye jibu naomba jibu!
bila shaka ni gaidi, asiyekua na huruma hata kidogo tena bora wale wanaojifunga mabomu kwani nao hufa hapo hapo lakini jamaa kapiga matukio mawili maeneo tofauti fasta.
 
nimejaribu kufuatilia kwa makini source mbalimbali haya mauaji ya kutisha aliyofanya huyu suspect lakini ukiangalia kwa undani serikali ya Norway ilipuuzia alert mbalimbali alizoonyesha huyu bwana Behring Breivic, ikiwemo kuandika makala za kutisha juu ya policy za Norway, then ishu ya kujadili sio kwamba ni mlokole or whatever swali la msingi ni je sera zetu hapa Tz na serikali jinsi inavyoshughulikia maswala ya msingi haiwezi sababisha kuibuka kwa watu kama Behring Breivic?

Mkuu haya ndio nimeyauliza kwenye post yangu ya kwanza kabisa. Maana na sisi sasa hivi tuna alerts nyingi tu, na freemasons na fundamentalists tunao, je siku wakiamua kusumbua tunaweza ku-deal nao?
 
Mkuu ukiangalia hakuna wakristo wenye siasa kali, hakuna term kama hiyo kwenye ukristo, ni tofauti na dini nyingine ambazo siasa ni sehemu ya dini. Ukristo siasa si sehemu ya dini. Kwa hiyo ukisikia Christian fundamendalist usije ukadhani ni mkristo mwenye siasa kali, be assured kuwa ni mlokole huyo.

Christian fundamendalist aka mlokole
Wapo wengi tu, na ndiko neno fundamendalist lilipoanzia, kule Ireland ya Kaskazini, ambao walikuwa wakiwaripua Waingereza.

Fungua Hizi Link kwa kuanzia: The Troubles | Fundamentalist_Christianity
 
Unaweza kusoma kwenye link hii. Lakini kama uwezo wako unafanana na wa Ephraim Kibonde inawzekana usielewe kitu. Maana hata kwenye quote yako naona hata jina la Kibonde unashindwa kuandika vizuri.

Anders Behring Breivik: profile of a mass murderer | World news | The Observer

Haya ndio maneno ....ungekuwa umenukuhu chanzo cha taarifa tangu mwanzo.....haya yote yasingetokea..... Umefanya la maana kutetea ulichokisema kwa kunukuu .... That is what we consider as professionalism.... Aliyesema wewe Kibonde aibu kwake na ukibonde umrudie.
 
The BBC is reporting that at least 84 people were killed in a shooting spree at a youth camp in Norway. This tragedy followed closely behind the bombing in Oslo that killed at least seven. As news of the attacks first broke, virtually everyone seemed to assume that Muslim terrorists were responsible. It now appears that the culprit may have been a Christian terrorist.

Norwegian police have identified Anders Behring Breivik, a 32 year-old man who police have described as a right-wing Christian fundamentalist, as a suspect. There are conflicting reports, with some describing Breivik as a suspect being questioned and others claiming that he has been arrested.

My thoughts are with the families and friends of the victims of this senseless attack. We will have plenty of time to learn about the motives of those responsible.
 
Back
Top Bottom