Bomu lalipuka Oslo-Norway karibu na ofisi ya PM

Inawezekana magaidi wanatafuta weakst link . kama walivyiamua kulipua ubalozi wa USA Tanzania na kenya..
zhangwei2.jpg

zhangwei3.jpg
 
Kama unakusudia kusema kuwa USA aka CIA ndio magaidi wenyewe basi uko sawa. Kama unaamini hekaya ya Al qaeda, Al shabaab, terrorist basi umepigwa bao! Balozi wameziripua wenyewe kama ilivyo kawaida ya US covert operations. Matunda yake yanaonekana leo. Wamepeleka "washauri" kumsaka Kony (kulinda mafuta Uganda), wamemtuma Kenya kwenda vita Somalia (Somalia iko kwenye list ya kuvurugwa tokea? angalia video utaelewa), Tz walileta sheria za ugaidi na mafunzo ya kijeshi ili kupambana na ugaidi na millenium challenge fund. Hapo utaelewa kwa nini ilikuwa ni muhimu kwao kuziripia balozi zao.
video hapa Libya Destroyed: Syria Next In The Crosshairs 2011 - YouTube
 
Mapenzi ni ulevi mbaya sana na upofusha akili
 
Mhhhhh mzeee acha kuzusha Norway hawana mchango kwenye mission na NATO LIBYA. Mchango wenye impact libya ni wa UK na France.

Inawezekana magaidi wanatafuta weakst link . kama walivyiamua kulipua ubalozi wa USA Tanzania na kenya..

Scandnavia zilijitolea sana kuwapokea wakimbizi wa kisoomali sasa nadhani watafikiria fikiria mara mbili. hata kama sio wasomali wanaohusika.

Unadhania ina make sense? Unless you are gullible (as many people around) the whole issue of terrorism has been stage managed and exploited by the invisible powers to be.
Open your eyes. Not everything they tell you is correct. You have to use your brains and dig deeper to find the truth. The MOSAD/CIA/MI6 revenge is highly likely, if not plausible!
 
Back
Top Bottom