Bomu lalipuka Oslo-Norway karibu na ofisi ya PM

Kweli nimeamini kuwa western media is acting on double standard. Huyu jamaa kama angekuwa na jina la kiarabu au muislam hii ingekuwa ni big story. Ila kwa kuwa ni Christian fundamentalist with anti-islamic view wanaanza kuplay down kuwa huenda akili zake si nzuri.

photo_1311474512648-3-0.jpg

110723_norwaysuspect.grid-6x2.jpg
 
kweli nimeamini kuwa western media is acting on double standard. Huyu jamaa kama angekuwa na jina la kiarabu au muislam hii ingekuwa ni big story. Ila kwa kuwa ni christian fundamentalist with anti-islamic view wanaanza kuplay down kuwa huenda akili zake si nzuri.

110723_norwaysuspect.grid-6x2.jpg

bbc ndio wenyewe kwa hizo play
 
Kumbuka LEO NI iJUMAA ,NAFIKIRI MLIPUAJI AMESEma ALLAH WA KUBR.
Norway,Sweden,Netherlands wamewakalibisha design hii wengi sana.

Wanazaliana kama kuku,kwa hiyo terrorists wamejaa wengi sana.
ULAYA iko under siege.

we mmakonde hebu fuatilia habari.. maana yaelekea ubongo wako ushakufa .... habari quoted from MSN BC zinasema jamaa actually alikuwa against multi-culturalism and Islam, kumbuka hizi nchi za Scandinavian zimechukuwa raia wengi sana wa kisomali .... Note the guy he was an Islam hater hater kama watu flani flani humu JF!

fuatilia habari hapa At least 85 dead in Norway youth camp attack* - World news - Europe - msnbc.com
 
Wakuu siku zote fundamentalism ni hatari, iwe ni political, religious au social. Inachekesha sana, na najua hapa baadhi ya fundametalists wanaweza kuaza kupinga. Lakini habari za awali zinaonesha kuwa huyu muuaji alisukumwa na u-fundamentalist wake na u-freemasons, shetani huyu wa pili (freemason) ameanza kuingia Tanzania kwa kasi, shetani wa kwanza (fundamentalism) tayari tunaye japokuwa hakubaliki. Tuangalie makali ya maadui hawa kwa nchi yetu.
 
Some time unaweza kuzinduka usingizini ukatoa post hapa ukafikiri nayo ni habari kumbe ni ndoto zimekuchanganya.
Kwanza nikueleze mtoa mada haiwezekani mtu kuwa FREEMASONS at the sometime akawa MLOKOLE kwani hivi viwili havitengamani ni kama kaskazini na kusini au mashariki na magharibi. Hiyo kwanza naku proof wrong.

Unless utanitafsiria una maana gani kusema MLOKOLE lakini kama una maanisha 'A BORN AGAIN CHRISTIAN" You're absolutelly wrong kwani FREEMASON ni Imani na pia mtu ambaye ni mlokole kwa maana ya kuwa Born againi pia ana anacho amini.

Nasema uko wrong kwa sababu mtu hawezi kuwa na Imani mbili kwa pamoja.Yaani mtu hawezi kuwa fundamentalist Islam at the same time akawa fundamentalist Christian kwa wakati huo huo. FREEMASON ni kinyume cha kuwa CHRISTIAN kwani Christians adui wao mkubwa ni shetani while freemasons ni wafuasi wa dini ya kishetani.

Katika spiritual implication"Biblia inasema ufalme ukifitiniana wenyewe kwa wenyewe hauwezi kusimama kwa hiyo nafsi moja haiwezi kuwa na falme mbili ambazo ziko antagonistic kama unavyotaka kudanganya. Imani iko moyoni kama siyo Rohoni hebu tell me ni kwa vipi moyo mmoja unaweza ku accommodate two antagonistic faith na zika work. Katika hali ya unafiki mtu anaweza kujidai ni Christian na at the same time siyo kweli lakini in the long run huwa ukweli na uongo hujitenga na inakuwa revealed kwamba huyu si wa mrengo huu bali ule.
I'm sure physically and spiritually you're wrong na sijaelewa unataka watu waelewe nini hapa othewise unataka kuonyesha jinsi haya mambo ya kiroho yamekupita mbali na you unahitaji msaada.
 
Mkuu nashukuru umetusaidia kufahamu kwa kina. Mie hufananisha baadhi ya matendo kuwa si imani pekee bali kuna degree ya maradhi ya akili. Bila shaka tunahitaji taarifa za kutosha kabla ya kuamua/ kujenga hoja juu ya mambo yenye taswira pana kama haya. Hebu chukulia wewe ni mgonjwa wa akili (mbali na wendawazimu) kisha ukawa unawatazama wengine kama vile wamekosea kuwa mbali na imani yako bila kujua kuwa na wao wanakuona umekosea kuwa na imani yako, hapo ndio panatokea vurugu ya kila mmoja kutetea kile anachokiamini.
Nashauri kabla ya kusema ubaya wa imani ya mwenzio jipime wewe unaamini nini na unatekeleza lipi kwenye imani yako, una upeo kiasi gani kujua imani za wenzako, usahihi na upogo wa kile ukijuacho, bila shaka utaishia kwenye kustahmili kushambulia imani za wenzio.
Dear Bongolander, Are muslim/ Christian by Choice or Chance
 
Well, mkuu kama nilivyosema kwenye post yangu ya kwanza, nimesema habari za awali. Habari hizo ziko kwenye Guardian ya uingereza na nimeweka pale link yake.

I agree with you kuwa kwenye ukweli uongo hujitenga, sitaki watu waelewe lolote kutokana na nilichoelewa, sitaki ku-impose ideas zangu kwenye vichwa vya watu. Na sitaki kudanganya mtu yoyote. Ninamheshimu mtu yoyote kwa maoni yake awe anajiita mlokole, mpagani au whatever, as long as haui na hasumbui watu. Nakuomba usome hiyo link kuhusu habari za Anders Behring Breivik, hakuna mahali ilipohusishwa Biblia na wala quote kutoka kwenye biblia, imesemwa tu kuwa jamaa ni Christian fundamentalist aliyekuwa na ajenda ya kuanzisha christian war.

Anders Behring Breivik: profile of a mass murderer | World news | The Observeraomba usinishambulie, sijatoa ideas zangu na opinion zangu kuhusu huyu jamaa. Nilichomba ni kuwa tuangalie kama mambo haya yanaweza kulata matatizo hapa kwetu.
 
Mkuu nashukuru umetusaidia kufahamu kwa kina. Mie hufananisha baadhi ya matendo kuwa si imani pekee bali kuna degree ya maradhi ya akili. Bila shaka tunahitaji taarifa za kutosha kabla ya kuamua/ kujenga hoja juu ya mambo yenye taswira pana kama haya. Hebu chukulia wewe ni mgonjwa wa akili (mbali na wendawazimu) kisha ukawa unawatazama wengine kama vile wamekosea kuwa mbali na imani yako bila kujua kuwa na wao wanakuona umekosea kuwa na imani yako, hapo ndio panatokea vurugu ya kila mmoja kutetea kile anachokiamini.
Nashauri kabla ya kusema ubaya wa imani ya mwenzio jipime wewe unaamini nini na unatekeleza lipi kwenye imani yako, una upeo kiasi gani kujua imani za wenzako, usahihi na upogo wa kile ukijuacho, bila shaka utaishia kwenye kustahmili kushambulia imani za wenzio.
Dear Bongolander, Are muslim/ Christian by Choice or Chance

Mkuu naona umetoa maoni safi sana. Unajua labda kwa kuwa walokole wameona MLOKOLE, au wanasiasa wameona MRENGO na freemasons wameona FREEMASONS ndio wakapagawa.
Nakubaliana na wewe kuwa beauty is in the eyes of the beholder, na ndio maana nasema siwezi ku-impose ideas zangu kwa wengine, unajua habari ikija ni habari tu, kila mtu anaweza kuitafsiri anavyopenda.

I adore,i fear and worship GOD THE ALMIGHTY, lakini i despise imported religions which are incompatible with our environment. Najua kuwa Tanzania bado hatujawa "free from religion" na tuna "limited freedom of religion", kwa hiyo siku zote mada yenye dini ni sumu kwa watu, kwa hiyo na mimi sitaki kuzungumzia dini yangu.
 
wakuu siku zote fundamentalism ni hatari, iwe ni political, religious au social. Inachekesha sana, na najua hapa baadhi ya fundametalists wanaweza kuaza kupinga. Lakini habari za awali zinaonesha kuwa huyu muuaji alisukumwa na u-fundamentalist wake na u-freemasons, shetani huyu wa pili (freemason) ameanza kuingia tanzania kwa kasi, shetani wa kwanza (fundamentalism) tayari tunaye japokuwa hakubaliki. Tuangalie makali ya maadui hawa kwa nchi yetu.

binafsi naomba nikurudishe uelewe nini maana ya mlokole na freemassons na hapo natumaini utarudi kurekebisha ulichoandika ..wengi watakujia juu lakini si tatizo lako ni ufahamu ..efeso 4:6 watu wangu wanangamia kwa kukosa maarifa..soma luk 4:10-15 angalia akuna sehemu shetan anakaa na mungu hata siku moja ....nini maana yake
freemassons ni shetwani pure
ukisema mlokole unaamaanisha mmiliki namaanisha mtawala mwenye nguvu yaani ana mamlaka ya kuomba na kubadilisha serikali ya nchi na uchumi wa nchi saa yoyote anapoamua kusema na babake wa mbinguni..so lazima ujue akuna mlokole atakaeitwa freemassons hata sikumoja ..so kwa ufahamu wangu ujakosea ila ukujua tofauti ya ulichoandika mungu akubariki wikiendi njema...
 
Mtoa mada ka-mislead wanaJF kwa kiasi fulani. Muuaji ni mkristu wa siasa kali mwenye mrengo wa kulia. Siyo mlokole. Ni mbaguzi wa rangi. Hapendi kuona watu wa rangi nyingine wakiishi Norway. Hapendi mwingiliano wa weupe na watu wa rangi nyingine. Ana itikadi ya ki-Nazi, yaani ni mfuasi wa Hitler
 
NIkisema mlokole maana yangu ni Christian fundamentalist, au kama hiyo sio tafsiri sahih basi naona mnisadie. Mkuu nina matatizo kidogo ya lugha. kiswahili ni lugha yangu ya tatu. Ya kwanza ni Ki-ha ya pili ki-nyamwezi na ya nne ni kiingereza, naona hapo nimechemsha lugha. wikiendi njema.
 
Nadhani watakuwa ni wale wale ambao hawaoni thamani ya uhai wa Wanadamu wenzao na kila siku wanatafuta njia za kujifunga mabomu ili kufanya unyama wao sehemu mbali mbali duniani.
Noma nani hao? Au vijana wa OSAM wako kazini?
Ghadafi aliwapa onyo hawa Nato members chacha watakiona cha mtema kuni itabidi wawashughulikie muslim fundamentalists waliowapa hifadhi.
Kumbuka LEO NI iJUMAA ,NAFIKIRI MLIPUAJI AMESEma ALLAH WA KUBR.
Norway,Sweden,Netherlands wamewakalibisha design hii wengi sana.

Wanazaliana kama kuku,kwa hiyo terrorists wamejaa wengi sana.
ULAYA iko under siege.
Nashukuru Mungu aliyehusika na mlipuko huo hajausika Mzanzibar gaidi! Ahmed Ghailani

Bila shaka Si Mzanzibar Gaidi atakayehusishwa na tukio hili..... Ahmed Ghailani et al....
Swali tena mkuu?

Una maana Al-Shahabu wako mzigoni huko?
Ndo hivyo si unaona UK na USA maadui wao halisi wamewa tight sasa wanatafuta soft na weakest target. Ndio hizo Scandnavia mara uganda na hata tanzania wakiamua.

Tungesubiri ushahidi ndo tuanze ku'comment', make hiyo SKY NEWS umesema wanabashiri..tena kumbe mwandishi tu...jaribu kuwa na subira..

Nimepitia hii story na kama pumbatupu anavyoshauri ni vyema wanajf kukusanya data.Tuache kawaida hii ya kukurupuka.

Looking to place blame for the attacks that took place in Norway, many looked no further than the Muslim community.

Moments after the explosion that, as of Saturday night, left seven dead, pundits and analysts alike had assigned blame to al-Qaeda or an al-Qaeda-like group (a close approximation will do, one can suppose).

Ali Esbati, an economist at the Manifest Center for Social Analysis, says the negative perception of Muslims in Europe has become a "convergence point" among right-wing groups, who spread the viewpoint of Muslims as an "occupying force and threat to Western society".

"The wider problem is that it's not even radical Islam that's seen as a threat - it's the idea that all of Islam or Muslims are a threat," said Esbati.

"So these (right-wing) radicals find a wider acceptance in mainstream politics."

He's not surprised by the knee-jerk response of Muslims being blamed for the attacks, as he says, discourse is not driven by facts or statistics. Rather, it is driven by perception - and right now, terrorism's face isn't of the radical right or of separatist groups in Europe. This has lead to the proliferation of what Esbati calls fundamentally "racist" ideas towards Muslims.

"The tone in public discourse … has become much harsher, it's been a gradual process," said Esbati.

"It's the normalisation of ideas that were far more marginalised in the past."

The 'madman' angle
Still, the question remains: When what was targeted was a government building and a youth camp put on by a political party - one that calls for the recognition of a Palestinian state - why would a Muslim be a more likely suspect than, say, a far-right terrorist?

Essentially, the answer simply seems to be this: It's been nearly a decade since the September 11 attacks, which, it seems, have had the effect of making Muslims the terrorist fall-guy in the Western world.

"It was obvious that everyone would assume that it was a Muslim," said Ibrahim Hooper, spokesman for the Council on American-Islamic Relations.

"All the Islamophobes on the internet jumped all over it."

He said that, even as of Saturday night, US media reports in the US were claiming "Islam this and al-Qaeda that."

But then, said Hooper, there's the "madman" angle, referring to the Norwegian official who said that the attacks were "not Islamic-terror related" and therefore "a madman's work."

"Unless it has been committed by a Muslim, it's not terrorism. If a non-Muslim commits an act of terrorism, they don't call him a terrorist. They say he was 'a madman,'" said Hooper.

Even though Breivik has been identified as a Christian, Hooper says he's sure his actions will not be affiliated with his faith - nor should they be. It's important, he says, to realise that an act of terrorism carried out by an individual, no matter what religion or creed, not be associated with the entire population following that faith.

This, of course, is not the case for Muslims in the current climate, and so Hooper says the focus should be on outreach. Muslims in Norway must continue to build coalitions and to work to "marginalise extremists of all faiths", he said.

"Everything always comes down to education."

http://english.aljazeera.net/news/europe/2011/07/201172311813947475.html
 
Mtoa mada ka-mislead wanaJF kwa kiasi fulani. Muuaji ni mkristu wa siasa kali mwenye mrengo wa kulia. Siyo mlokole. Ni mbaguzi wa rangi. Hapendi kuona watu wa rangi nyingine wakiishi Norway. Hapendi mwingiliano wa weupe na watu wa rangi nyingine. Ana itikadi ya ki-Nazi, yaani ni mfuasi wa Hitler

Mkuu ukiangalia hakuna wakristo wenye siasa kali, hakuna term kama hiyo kwenye ukristo, ni tofauti na dini nyingine ambazo siasa ni sehemu ya dini. Ukristo siasa si sehemu ya dini. Kwa hiyo ukisikia Christian fundamendalist usije ukadhani ni mkristo mwenye siasa kali, be assured kuwa ni mlokole huyo.

Christian fundamendalist aka mlokole
 
Back
Top Bottom