Bomu la mafuta ya kula la Magufuli laanza kulipuka

Bomu la mafuta ya kula la Magufuli laanza kulipuka

Mafuta yatokanayo na mimea nj salama zaidi kuliko yatokanayo na wanyama
yazuiwe kabisa ili muokoe watu basi,unadhani kilichofanyikwa kwenye sukari ilikuwa ni upendo kwa raia? vipi yule mstaafu rafikiye anayemiliki kagera sugar na mtibwa sugar? ni hela ngapi wanapiha kwa expense ya kujifanya wanatetea wanyonge? kalaghabaho usishangae kuna mtu ana ma hisa kwenye alizeti huko yupo radhi aumize wakaanga vitumbua wanuunuaji mafuta kwenye vichupa vya fanta ili yeye afaidike
 
Hata sabuni zimepanda bei haswaa family kutoka 8500 hadi 9500, tunaisoma kweli mimi niridhani wataisoma wapinzani kibao kimegeuka
 
Hata sabuni zimepanda bei haswaa family kutoka 8500 hadi 9500, tunaisoma kweli mimi niridhani wataisoma wapinzani kibao kimegeuka
ile ya kusema analinda viwanda vya ndani ni uongo,leo hapa mwanza jamaa wamenifafanulia vizuri anaminya hadi vya ndani ni kilio kikubwa interest kubwa nahisi kuna watu wana mkono huko kwenye alizeti,kama vile unavyooona walivyozuia sukari ya zenji isiingie kulinda bei kubwa sukari ya morogoro na ya kagera za mr kipara,dha jamaa hawaridhiki wanaumiza watu tuuu.😡
 
Pumbavu Ngoja mguswe kila sehemu akili ndio zitawakaa sawa Maniner
 
Mafuta yanapopanda,automatically sabuni itapanda kwani mafuta ndo raw material ya sabuni
 
Mafuta yanapopanda,automatically sabuni itapanda kwani mafuta ndo raw material ya sabuni
 
yazuiwe kabisa ili muokoe watu basi,unadhani kilichofanyikwa kwenye sukari ilikuwa ni upendo kwa raia? vipi yule mstaafu rafikiye anayemiliki kagera sugar na mtibwa sugar? ni hela ngapi wanapiha kwa expense ya kujifanya wanatetea wanyonge? kalaghabaho usishangae kuna mtu ana ma hisa kwenye alizeti huko yupo radhi aumize wakaanga vitumbua wanuunuaji mafuta kwenye vichupa vya fanta ili yeye afaidike

Sina data juu ya hilo.
 
wenye maduka ya rejareja mwanza wanakataa kununua kwa bei mpya,give it 0ne to two weeks utasikia balaa halafu atajifanya anaingilia kati ku solve tatizo wakati yeye ndo ka create,sijui huyu jamaa tumemkosea nini yarabi
HAYO YENYE SUMU HAKUNA MTU ANAYETAKA YAWEPO. KAZI YA SERIKALI KUTULINDA. HATUA HII NI MUHIMU. ni afadhalik kutumia nusu kijiko ya mafuta yaliyo salama kuliko kijiko kisicho salama kwa bei ileile. yaani kama kijiko kizima kimoja kwa mangi cha mafuta yasiyo salama ni tshs 200 ni vizuri utumie nusu kijiko cha tshs 200 cha mafuta salama. NI HAYO TU KWANGU?
 
Aisee mafuta ya kula yamepanda sana bei jana nilikuwa naongea na muuza duka mmoja anasema yakiisha haya aliyonayo anaacha kuuza mafuta kwa kupima sababu hamna faida
 
Viongozi wengi wanahisi wanajua maisha halisi ya mtanzania lakini ukweli ni kwamba hawayajui.
Yani wao kwakuwa wanalishwa au wana mishahara mikubwa hajui kwamba ongezeko hata la shs 100 kwenye bidhaa huku mtaani ni shida zaidi.
Wengi hawaishi maisha ya Mtanzania hivyo hawawezi kuyaelewa.
Ndiyo wale wale wenye majibu mepesi kama wajiajiri, wakalime, zina protini watanzania wale kwa wingi yani wanahisi ni rahisi tu
 
Nasikia lita 20 tsh 65000,
lita 10 tsh 38000.

Inabidi kula chukuchuku tu,maana bei ni uneconomical
Yatasaidia kuepusha magonjwa wale chukuchuku,tena kina mama ndo wanasapoti sana maana ni wa kuletewa tu.
 
Bora chuku chuku mzee kuliko mafuta yasiyoeleweka
Hiyo chukuchuku iwe by choice siyo kwasababu mtu kashindwa nunua mafuta..
Ukiamua unaweZa maliza siku nzima hujala na njaa isiume sana ila sasa usile kwasababu huna pesa ya kununua chakula yani huna choice zaidi ya kushinda njaa hapo ndipo njaa uuma hasa.
 
Back
Top Bottom