Bomu la Kampuni ya Wahindi yaanikwa

Bomu la Kampuni ya Wahindi yaanikwa

Hawachomoki, kwa maana % kubwa ya hao clients ni Government bodies, na transactions zote zinajulikana, pia records zipo, migration, police, tra, tpa, insuarance.. + physical evidence ya waajiriwa wazamani na wasasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi sana wanaoishi kimagumashi, na mpaka kufikia hapo ni mshiko kanyimwa/walinyimwa wakaamua liwalo na liwe.

Bado kuna wachina ambao nao wanakuja ili hali wanashida ya kufanana, na wao the day has come...
 
Nasubiri wanaojua Kiingereza waamke Kesho ili watutafsirie vizuri tuliokimbia umande kusudi nasi tupate angalau kung'amua chochote katika hiyo taarifa.
Nini ambacho hakieleweki hapo?
Wizi kwa kutumia fake documents!
Kwa vile mhindi mnajidai hamuelewi, angakuwa mswahili mngeimba na kutaja baa anayokunywa na hata nyumba ndogo yake!
 
Kweli kajilipua bila kubabaisha. Na details zote...hakuna mambo ya anonymous!
 
Wapakistan wengi walioko nchini mwetu kibiashara huwa wanautapeli,yaani ni kama vile tuwaonavyo matapeli wa kiNaijeria.

Idara ya uhamiaji iwe makini katika kutoa vibali vya wageni,wanaofanya kazi ambazo watanzania wanazimudu.
Msajili wa makampuni,afanye uhakiki wa makampuni yaliyopo,na yaliyofilisika Ili kufahamu kampuni zinazofuata masharti ya usajili wa makampuni.
Serikali iache kufanya biashara na kampuni isiyo 'Active' katika Rejista ya msajili wa Makampuni ili kuepusha utapeli.
 
Hawa wahindi ni mafia kabisa yaani wakwepa kodi wakubwa na wanyonyanyaji wakubwa kwa wafanyakazi wao sasa naimani mjomba magu ameshaipata taarifa ngoja tusubiri maamuzi yake.

Hiyo kampuni inaonekana inakula dili na watu kadhaa serikalini anyway ngoja tuwasubiri polisi, takukuru wafanyae yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AAHAHA HAPA JAMAA KAPIGA MAHESABU KAONA WENZIE WANAFAIDI KINOMA HALAFU YEYE KAMWAGWA, KAONA ISIWE TABU KAMA WAMEMWAGA MBOGA NAMWAGA UGALI.
NB: TAKUKURU, TISS, TRA WAINGIE MZIGONI KULICHUNGUZA HILI ILI HATUA STAHIKI ZICHUKULIWE, HATUWEZI KUISH NA WAHINDI WANAOKWEPA KODI NA KUTUSABABISHIA HASARA KUBWA.
 
Hapa lazima wataisoma namba. Bomu ndo limeshalipuliwa, wahujumu wakae chonjo....inakula kwao.

Ni kweli kabisa wahidindi ni macorrupt wanakuwa wna Payroll mbili
 
Ndio huyo huyo!!Kumbe unampata vizuri
Duh! Hii inatisha sana mkuu.
Ndio maana kuna watu humu kutwa wanampinga Mh. Rais na jitihada zake.
Kumbe wana Maslahi binafsi na ni vinara wa kuliangamiza hili Taifa.
Cyprian Lymo ndio "Culprit" wa hiyo michezo yote!!!!!!! Nimechoka kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom