Bomu la Kampuni ya Wahindi yaanikwa

Bomu la Kampuni ya Wahindi yaanikwa

Taarifa hii isipuuzwe! Ndivyo nchi yetu inavyotafunwa na wajanja wachache tafadhali tufuatilie.
 
Huyu jamaa anatakiwa apewe ulinzi bila ya hivyo anaweza kuuawa kabla wahusika hawajamuhoji.
Huyu sidhani kama bado yuko Bongo itakuwa kadhulumiwa au kamwagwa kazini.....naye akaamua kufunguka na nahisi atakuwa ameisha sepa nchini.
 
Well understood ingawa kidhungu hiki cha India dah! TRA Takukuru etc inanuka rushwa sijui nini kifanyike. Shida vyombo vyetu vya habari waoga kupublish habari kama hii. Akisema Lissu tumebanwa misisiem mnataka kumbana kwa kusema ukweli. Shughulikieni haya acheni kukimbizana na wapinzani mnayoyaficha ndiyo haya mnaogopa kuumbuliwa? mdogomdogo tutafukua vikaburi uchwara kwa mtindo huu.
 
Naona barua kaandika tarehe 25 / 5 / 2017 . Leo mwezi wa Saba . Kama kumfikia Mheshimiwa Rais na vyombo vinavyohusika itakuwa imefika ? Na kama ilishafika tushasikia hatua yoyote ? Leo kwa mbali nilisikia mtangazaji mmoja wa kituo cha redio akitoa tetesi ya kuwa kuna barua yenye tuhuma nzito kaisoma nafikiri ni hii . Na je , kama hawa wahindi walikuwa wanajiandaa kukimbia nchi hawajatoroka ?
 
Back
Top Bottom