meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
- Thread starter
-
- #21
haya bhana naona heri zenu mnaosoma vyuo vya taifa, mtuache na kata zetu maana tumeshaanza kuitana muhimbili na yule'wa Udom
UDOM-Sub standard universityKweli vichaa hawataisha dunia hii, Wale madaktari walio pasua mgonjwa kichwa badala ya goti wamesoma Udom? Hao mawaziri mizigo wamesoma Udom? Wewe unaeropoka humu Jf umelisaidia nini taifa hili kama sio kutwa kuropoka kwenye mitandao ya kijamii na vijiwe vya ghahawa?
Naunga mkono hojaTunaposema huu upuuzi wa vyuo vya kata hautakiwi watu wanasema tuna dharau bora jamii inajionea yenyewe.
Ati mtu alifeli kidato cha nne leo hii anapewa cheti cha kuwa daktari...ukiuliza nini eti ooh tunapunguza uhaba wa madaktari...pambaff sana.
Mliosoma UDOM inabidi mkasome tena vyuo vingine Post Graduate!!! Elimu ya udom bado sanaaa...
Tunaposema huu upuuzi wa vyuo vya kata hautakiwi watu wanasema tuna dharau bora jamii inajionea yenyewe.
Ati mtu alifeli kidato cha nne leo hii anapewa cheti cha kuwa daktari...ukiuliza nini eti ooh tunapunguza uhaba wa madaktari...pambaff sana.
Niliwahi kuhudhuria kikao cha wazazi kwenye shule moja jijini Dar wanaposoma wanangu kiukweli I was so disappointed baada ya kusikia baadhi ya wazazi wakitamani watoto wao one day wasome udom.Yaani Mtoto umlipie ada 1.5m kwa mwaka shule ya msingi then university akasome Udom-si majanga hayo?UDOM ndio usiseme,maana hata wakufunzi wao ni vituko!!unakuta lecturer anashindwa challenge kidogo tu toka kwa wanafunzi,maana anakua hanatofauti yoyote ya ufahamu wa mambo kulinganisha na wanafunzi wake.hili nalo ni bomu lingine kaka.
Mbona hamuongelei chuo chakavu UDSM, hiki chuo ni jana kwa taifa yani ndio kimetoa mafisadi kwa 99%, wasaliti wote kama Zitto wamepikwa UDSM, vibaraka na vijana wachumia tumbo kama Shonza wote wamepikwa UDSM! Janga janga janga.
Mliosoma UDOM inabidi mkasome tena vyuo vingine Post Graduate!!! Elimu ya udom bado sanaaa...
Niliwahi kuhudhuria kikao cha wazazi kwenye shule moja jijini Dar wanaposoma wanangu kiukweli I was so disappointed baada ya kusikia baadhi ya wazazi wakitamani watoto wao one day wasome udom.Yaani Mtoto umlipie ada 1.5m kwa mwaka shule ya msingi then university akasome Udom-si majanga hayo?
wanaofundisha hapo wengi ni graduates wa miaka ya 2000 na kuendelea!
Unategemea kama uongozi na walimu 'haziko sawa' utapata wanafunzi 'ziko sawa'Mkuu thnk big b4 posting any thread,,,wanaosoma imtu hawahusian kabisa na kitu kilichotokea,,,kwa hiyo ulitegemea wanaosoma ndo waka deposit yale mabaki wanaojifunzia,???halafu unajiita great thinker....soma popote pale bhana bt all in all life kichwa chako tu na ukiingia mtaani ndo uta realize kitu nnachokisema,,,kosa la issue ya imtu si la wanafunzi wanaosoma,,,...
Tunaposema huu upuuzi wa vyuo vya kata hautakiwi watu wanasema tuna dharau bora jamii inajionea yenyewe.
Ati mtu alifeli kidato cha nne leo hii anapewa cheti cha kuwa daktari...ukiuliza nini eti ooh tunapunguza uhaba wa madaktari...pambaff sana.
MY TAKE
- SERIKALI INATAFUTA KURA
- G.ABACHORI ANASAKA NOTI
- MLALAHOI ANASAKA AJIRA YA URAHISI
Udsm kuna Drs na Associate prof wengi kuanzia coet. Ira. Udbs n.k wamegraduate kuanzia 2003
Kunajamaa angu ng'ombe kweli PCB alipata four kaenda chuo uchwara flani eti saiv ansfundisha madactari udim
Udaktari ni kama ufundi bomba,mtoto wa fundi bomba atafundishwa ufundi bomba na baba yake mpaka pale baba yake atakapofariki ndipo mtoto huyu kipindi hiki akiwa kijana ataanza kuifanya vizuri kiasi kazi ya ufundi bomba na hatimaye na yeye atamfundisha mwanawe.
huwezi ukamaliza MD5 halafu uende kufundisha madaktari halafu tutegemee madaktari hao wawe wazuri...never!!ukienda Muhimbili utawakuta mababu,mababa na makaka kwa ujumla wao ndio wanwafundisha madaktari...hii ni sawasawa na uingereza,marekani na maeneo mengine wanaojitambua na sio IMTU au UDOM au Agha khan ya bongo au kwa sasa IFAKARA.
Endelea kubisha ila mtaendelea kuumbuka
99% ya mafisadi wametoka huko ni kweli lakini pia 99% ya wazalendo,wataalamu,mashujaa wametoka huko pia!!hiyo 99% ya mafisadi inaweza kuwa ni asilimia moja tu ya wahitimu ambao walikuwa makanjanja the rest walikuwa vipanga.
kwa hivi vyuo vyenu vya kata utaongelea 99% ya wahitimu watakuwa makanjanja!
Mkuu thnk big b4 posting any thread,,,wanaosoma imtu hawahusian kabisa na kitu kilichotokea,,,kwa hiyo ulitegemea wanaosoma ndo waka deposit yale mabaki wanaojifunzia,???halafu unajiita great thinker....soma popote pale bhana bt all in all life kichwa chako tu na ukiingia mtaani ndo uta realize kitu nnachokisema,,,kosa la issue ya imtu si la wanafunzi wanaosoma,,,...
Kweli vichaa hawataisha dunia hii, Wale madaktari walio pasua mgonjwa kichwa badala ya goti wamesoma Udom? Hao mawaziri mizigo wamesoma Udom? Wewe unaeropoka humu Jf umelisaidia nini taifa hili kama sio kutwa kuropoka kwenye mitandao ya kijamii na vijiwe vya ghahawa?
Na sasa tumeambiwa waalimu wote wa elimu ya msingi watakuwa na shahada,Movie at work!!