Jamani
Mimi nakumbuka wakati wa sakata la Richmond mama Makinda akiwa naibu speaker, Sita alimkutaza Makinda kuruhusu mjadala wa Richmond wakati yeye hayupo, kwa maelezo kwamba Mama Makinda ni "MKURUPUKAJI". Watu wengi walimunyoeshea Sita vidole hadi ikifikia Sita kuomba msamaha na ku-withdraw that statement, lakimi message tayari ilikuwa sent.
Na leo hii Sita amekuwa vindicated. Makinda hafai kuwa speaker hata kidogo, kwanza ANA JAZBA, pili MKURUPUKAJI, tatu HANA UELEWO WA KANUNI NA SHERIA ZA BUNGE (She doesnt have laws background) nne ana INFERIORITY COMPLEX.
Hakutakiwa kabisa kuwa speaker kwenye bunge hili la 10 lenye changamoto nyingi. CCM have shoot themselves on their own feet.
Naomba ampelekwe kwenye ANGER MANAGEMENT COURSE. Naomba kuwasilisha