Bomoabomoa Yaikumba Nyumba Ya Shilingi bilioni 1

Thamani ya nyumba haipo kwenye picha isipokuwa kwenye materials na eneo( nyumba ya tembe mkuu haina thamani ndiyo maana unashangaa)

Sawa, Asante. Tunaokaa kwenye nyumba za tembe Tanzania ndiyo tuko wengi. Sasa utanieleza HUYU Mtanzania mwenye nyumba ya billioni moja anafanya kazi gani? Na JE mapato yake yanaendana na kodi aliyolipa? Ama mumeandika billioni moja kwa kufikilia serikali ya Magufuli itatowa fidia ya billioni moja? Wizi siku hizi sio rahisi. Nyumba kama hiyo itajengwa kwa milioni 150 tu. Ufisadi Umepunguwa. Serikali siku hizi inanunuwa direct hakuna tenda za kununua soda moja elfu hamsini, hiyo ilikwisha na serikali ya Kikwete. Billioni 1 ya Tanzania ni sawa na £340,000 pesa za Uingereza. Sasa pesa hiyo inaweza kununua nyumba aina kama Hii, ambako wajenzi wanapokea mishahara mikubwa, itakuwa Tanzania ambako hata Barbara a hakuna. Hizo bei zilikuwa za serikali ya nne economy fake. Nyumba zilikuwa zinauzwa na bei ya dili, nyingi zikinunuliwa na pesa za dili kutoka serikalini.

Rossett near Wrexham: £199,000 , Sawa na 600,000 Tanzanian Shilling

Sasa fananisha na hiyo nyumba ya billioni moja.


 
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] naogopa kujenga mie
 
Unakijua lakini ulichokiandika au unaota?
 
Samahani katiba yetu inaruhusu mambo haya. Ukisoma vizuri mafungu yanayo husu Ardhi utaona haya masuala. Ndio maana katiba inahitaji marekebisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.

Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.

Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
Bunge gani unaongelea? lile la NDIYOOOO
 
Thamani ya nyumba haipo kwenye picha isipokuwa kwenye materials na eneo( nyumba ya tembe mkuu haina thamani ndiyo maana unashangaa)

Eneo uko kimara au wp?
 
Mmmh hapana, 1 bilion hapana?
 
Akina kabula na sundu molomi sijui wanakula usingiz safi kwenye nyumba za serikali walizogawiwa kama njugu
 
Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.

Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.

Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.

Ila sikia sheria inafuata mkondo kwa mwenzako ndo utasema hayo maneno Ila omba yasikukute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…