Soma vizuri hiyo taarifa! Hajaanza kujenga leo au Jana, ni Uwekezaji wa tangu Miaka ya 1990s! Na kumbuka Ardhi ina appreciate in value, kama uliinunua Shilingi 50,000/ mwaka 2000 usitegemee thamani yake ikawa the same as this date 2017! Fungua Akili!Mimi sielewi kwa nini kubomolewa nyumba ya 1b imekuwa ishu hapa. Huyu kama ameweza kujenga nyumba ya thamani hiyo hawezi kukosa mahala pa kuishi. Kwangu mimi zile nyumba ambazo zimechakaa na wananchi wake hawana uwezo wa kuzikarabati na wanaishia kubomolewa ndio ishu. Wanachi hawa wataishia kulala nje hivyo kuwakosesha hitaji muhimu la binadamu kulingana na azimio la arusha
Sent using Jamii Forums mobile app
ccm wamesharogakuna vidio najaribu kuituma apa inafika asilimia tisin inagoma nini tatzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wizara ya ardhi itazuia nyumba isibomolewe?Hawa waandishi sijui walisomea wapi kazi eanazofanya.. mtu analeta habari ya upande wa wenye nyumba.. yaani wamekosa ujuzi kwenda wizara ya ardhi kupata habari kamili.. na kuacha haya ya wananchi kutokupata ukweli na wengine kujua na kujipanga katika maisha yao kueasaidia na haya ya barabara.. ni bure kabisa hawa waandishi wa nchi yetu.. yaani bure kabisa
Mwakyembe fanya ulilotaka kucheki juu yao
Sheria ilikuwa mita 60 pande zote recently imebadilishwa kuwa mita 120 pande zote cha kujiuliza je Sheria zetu zinaaply in retrospective?Aisee,
Najiuliza wakati wanajenga hawakujua kama ni mita 120??
Au walijua ila wakajiambia kua pengine hizo mita 120 ni za zamani kuna mpya zaidi ambazo wako safe??
Ama kweli nyani halioni.... Wewe mbona uwa unasapoti kila takataka ya ccm hapa..Hawa waandishi sijui walisomea wapi kazi eanazofanya.. mtu analeta habari ya upande wa wenye nyumba.. yaani wamekosa ujuzi kwenda wizara ya ardhi kupata habari kamili.. na kuacha haya ya wananchi kutokupata ukweli na wengine kujua na kujipanga katika maisha yao kueasaidia na haya ya barabara.. ni bure kabisa hawa waandishi wa nchi yetu.. yaani bure kabisa
Mwakyembe fanya ulilotaka kucheki juu yao
Ninachojua mimi sheria imekuwepo kitambo sana hasa katika barabara kuu ambazo sheria inasema mita 60 tokea katikati mwa barabara kila upande, ambapo upana wake utakuwa 120.Lakini 120m kwa kila upande kama mwandishi anavyotaka kutuaminisha, sheria haijabadilika.Soma vizuri hiyo taarifa! Hajaanza kujenga leo au Jana, ni Uwekezaji wa tangu Miaka ya 1990s! Na kumbuka Ardhi ina appreciate in value, kama uliinunua Shilingi 50,000/ mwaka 2000 usitegemee thamani yake ikawa the same as this date 2017! Fungua Akili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siajabu nakura alimpigia tinga tinga mtetezi Wa wanyonge [emoji22] [emoji22] [emoji22]Serikali ya wanyonge ngoja iwanyonge haswa.
Mshahara wa dhambi ni mautiSiajabu nakura alimpigia tinga tinga mtetezi Wa wanyonge [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Hii sumu inayotengenezwa na CCM ni balaa sana kwa watu wa mjini.Nikiwa NA pesa bora nikajenga kijijini haisee,mjini mambo unajenga ya kawaida2 ,sasa unakuta huyo kijijini kajenga kajumba NA kawaida2 ,serikali ya Tanzania hainaga huruma NA wala haijali wananchi wake,nashinadwa kuelewa nchi inakosaje plans sijui yaani mambo ya kubangaiza2!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona bombadia zimenunuliwa bila kufata sheria za manunuzi?Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.
Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.
Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
123M kila upande. Nasubiri Hizo barabara za meter 246.60 per side...
Sheria ni Msumeno sio?Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.
Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.
Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.