Bomoabomoa ya Mpanda ni vilio vitupu

Bomoabomoa ya Mpanda ni vilio vitupu

hakuna namna maendeleo yana changamoto zake... Ila omba isikukute,... Pole kwa wahanga.
 
Serikali iko mbioni kuongeza idadi ya homeless people. Kwanini hawa wasilipwe fidia kubwa kama bei ya soko na kupewa viwanja vilivyopimwa wakajenge huko. Hivi ndiyo hufanywa na Serikali inayojali raia wake badala ya bomoa bomoa na kuwaacha wakiwa hawana pa kwenda.

Hatari sana
 
Hii serikali ni ya kidikiteta kwahiyo wanavyofanya hivyo wao wanachekelea tu. Ndiyo kuisoma namba kwenyew huko
 
Serikali iko mbioni kuongeza idadi ya homeless people. Kwanini hawa wasilipwe fidia kubwa kama bei ya soko na kupewa viwanja vilivyopimwa wakajenge huko. Hivi ndiyo hufanywa na Serikali inayojali raia wake badala ya bomoa bomoa na kuwaacha wakiwa hawana pa kwenda.
Bwana masifa anataka aonekane kajenga reli kwa gharama ya chini!

Kumbe bajeti ya fidia kaifuta na roho yake mbaya kama
Msaga sumu!

Watanzania wakome na viherehere vyao kuchagua ma-sadist
 
Mi wa wabomoleee tu!! Bomoa bomoa akili zitakuja: jamani na watumish niwakumbushe tarehe 4 iyo hapo siku zimeisha!!! Kila mtu ataisoma namba kwa nafasi yake;-
 
Wacha wavunje ndiyo ndiyo sera za Rais wa wanyonge, hawa wanaoathiriwa na hii bomoa bomoa hawamo kwenye kundi la " wanyonge"

Mi wa wabomoleee tu!! Bomoa bomoa akili zitakuja: jamani na watumish niwakumbushe tarehe 4 iyo hapo siku zimeisha!!! Kila mtu ataisoma namba kwa nafasi yake;-
 
Bomoabomoa Mpanda ni Vilio Tupu, Mamia ya Nyumba Zabomolewa Wakazi wa maeneo ya Tambukareli, Mpanda Hotel na Msasani, wamejikuta katika sintofahamu baada ya Shirika la reli Mkoa wa Katavi kuwataka kubomoa nyumba zao baada ya kuvamia reli na mali zake.

Zoezi hilo ambalo limezikumba kaya takribani 200 kufuatia agizo hilo ambalo wakazi hao wamesema kuwa wao wanashangazwa vipimo vilivyotumika na shirika hilo.

Tutafika tu[emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani hawa wameanza vizuri ila hapo tu kwenye kumtetea Magufuli wamenikera kweli.

Hivi hawajui kwamba huyo magufulu ndo chanzo cha yote hayo wanayotendewa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani twaweza mnawasababishia watu maumivu tangia mtotafiti kuwa ccm inapendwa na masikini basi kila siku wanataka watanzania wengi wawe masikini ona sasa mtu anabomoa makazi ili ajenge reli huduma za kijamii na makazi zipi zinaumuhimu bora angeacha makazi tu hiyo reli ata awamu ya kwanza bado
 
Back
Top Bottom