kibao cha mbuzi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 507
- 493
Jamaa wameisomba namba kweli kweliUkiskia kuisoma namba ndio huko!
Awaue mara ngapi?Ataua watu huyu mzee
Balaa tupuAwaue mara ngapi?
Ndio maana yake hiyo. Rais wa wanyonge ni kuhakikisha sheria na taratibu zinafuatwa. Mtu akijenga sehemu ambayo hatakiwi kujenga huyo si mnyonge!
Acha dawa iingie vizuri na ukibana ma..ta..ko sindano inakatikia humo.
Kipind tunadeki bara bara walikuwa wanatuona hatufai. Usiyempenda kaja. Na bado kila mmoja ataguswaKama ni sheria za nchi kufuatwa tuanze na ukwapuzi wa nyumba za Serikali na ununuzi wa boti uozo na wale wastaafu mafisadi.