Bomoabomoa:Wabara tumenyolewa,Wazanzibar tieni maji

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Wazanzibari,kama mtatridhia kurudia uchaguzi, mzingatie sana swala hili na ikibidi muwahoji kama nao baada ya kuchaguliwa watakuja na mpango huu wa bomoabomoa na hata mkipewa majibu mazuri kumbukeni ule msemo maarufu wa JK: "akili ya kuambiwaa changanya na yako."

Mjifunze kwa makosa ya wenzenu.

Kama Zanzibar hakuna ujenzi holela(binafsi sijawahi fika) basi hongereni sana.

Kazi kwenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom