Bomoabomoa Tabata Kinyerezi haikwepeki

Bomoabomoa Tabata Kinyerezi haikwepeki

mbona mnataka kumuua mzee wangu kwa presha maana najua hiyo fidia haitakuwa ya haki kwa nature ya mjengo wetu
 
Sawa tunekupata. Kesho zoezi linaanza. Suala malipo wasahau...
 
Shughuli za ubomoaji wa nyumba ili kupisha ujenzi wa miundombinu ni jambo muhimu sana. Kuna baadhi ya maeneo jijini Dar ni lazima shughuli hiyo ikafanyika mapema bila kupoteza muda.

Maeneo muhimu ambayo yanapaswa kubomolewa na wenyewe kulipwa ni njia ya Tabata relini hadi Segerea na Majumba Sita hadi Kinyerezi Mbuyuni.

Ubomoaji huo utasaidia kuondoa foleni kali katika njia hiyo muda wote. Tunaiomba Serikali kutupia macho eneo hilo na kama inawezekana hata kesho shughuli hiyo ianze.
Ni Unashauri au unatupa taarifa tujiandae??
 
Nani alikutuma ujenge mbali halafu unataka wenzio wabomolewe ili wewe upite! Nunua helicopter!
 
Back
Top Bottom