Bomoabomoa kulikumba jengo la PPF-House Posta?

Ila ukweli mbaya na uongo udanganya siku zote.Kiuhalisia barabara ya kuingia mjini Dsm nifinyo sana kuanzia MLANDIZI.
Kwa wingi wa magari haya na wingi wa watu tunastahili kuwa na barabara pana

Hakuna anayekataa bali watu wanataka utu, u binadamu kwanza hatukuchagua robot
 
Hata mimi nimewaza sana UN road inakutana vipi na Askari monument, jamaa inaonekana haijui UN road ilipo

Usiwaze sana jiulize Mjini ulikuja Lini mitaa mingi imebadilika majina, kumbuka UN walikuwa Samora by then na jiulize sheria ya Lini utapata majibu. Enzi hizo mgeni akija bongo anapewa mtaa kuweka kumbukumbu.
 
Barabara ya Umoja wa Mataifa inaanzia daraja la Sarenda mpaka shule ya Jangwani na Faya sijui inakutanaje na mnara wa askari!
 
Barabara ya Umoja wa Mataifa inaanzia daraja la Sarenda mpaka shule ya Jangwani na Faya sijui inakutanaje na mnara wa askari!
Study the Law wewe si umewekewa hapo! Sasa unajikanyagakanyaga kitu Gani?
 
Usiwaze sana jiulize Mjini ulikuja Lini mitaa mingi imebadilika majina, kumbuka UN walikuwa Samora by then na jiulize sheria ya Lini utapata majibu. Enzi hizo mgeni akija bongo anapewa mtaa kuweka kumbukumbu.
Halafu watu wengine mnaudhi tu! Mtu unatakiwankueleza unacho kifahamu sio kuweka maswali juu ya maswali unafichaficha nini! Sijui kwanini hatuko straight!
 

Mipango miji,usijari
 
Tusio na vyeti ajira hizoooo!
 
Halafu watu wengine mnaudhi tu! Mtu unatakiwankueleza unacho kifahamu sio kuweka maswali juu ya maswali unafichaficha nini! Sijui kwanini hatuko straight!

Mbona hujafichwa hapa umekumbushwa nchi hii mitaa na barabara huwa zinabadilika majina kila mara, usihudhike search utapata info sheria zingine zimetungwa zamani.
 
Mbona hujafichwa hapa umekumbushwa nchi hii mitaa na barabara huwa zinabadilika majina kila mara, usihudhike search utapata info sheria zingine zimetungwa zamani.
TUELEZANE! Na tufahamishane wazi Kwamba Kuanzia fire hadi Ubungo mita 120 road width hapo tuanze kuhama kiakili
 
Askari, monuments then kuelekea UN road, pumba kabisa ww, unaijua UN road Ilipo?
Jamani japo mimi mgeni sana hapa darisalama ila UN road najua ni hii ya trafick light salender kuelekea muhimbili kama nimekosea mnisamehe
 
Kwanza unatakiwa kujua lengo la huo upanuzi wa barabara ni lipi. Lengo ni kurahisisha flow ya magari yanayoingia na kutoka Dar kupitia hii barabara ambayo naweza kusema ndo iko busy sana na magari aina zote.

Sasa lengo la serikali sio kupanua Morogoro road yote ila ni kupanua "MLANGO" wa kuingilia Dar. Ndo maana upanuzi utaanzia ubungo kurudi mkoa wa Pwani.

Kuhusu kule city center, umewahi kujiuliza kwa nini pale junction ya Bibi Titi na Morogoro Rd hamna jengo hata moja lilibomolewa ili kupanua barabara? Badala yake walijenga barabara ya DART peke yake.
 
Tamko umetoa habar nyeti kweli. Hii inabidi kufuatilia na kujiandaa kisaokolojia maana inanihusu
 

UNAONGELEA MATAKWA YA SHERIA AU POROJO TU!
 
Jamani japo mimi mgeni sana hapa darisalama ila UN road najua ni hii ya trafick light salender kuelekea muhimbili kama nimekosea mnisamehe
Usiwasikilize Hao, Wamewekwa mtandaoni kujibu hoja wao wanaleta VIOJA.. Sema tu Kuanzia Fire hadi Ubungo upana wa Barabara ni mita 120 yaani 60m Kila upande. Kwa sasa ziko mota 24 Kila upande bado bomoa bomoa yaja! Wajiandae Tu kisaikolojia kuliko kubwabwaja maneno mingi hapa. namba Moja Keshasema Sheria ni msumeno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…