Ndiyo mkuu kila kijumbba 1.2 au 1.5mln (police post type)Chukulia kila kibanda basi milioni 2 hivi nzima nyumba ngapi zitalipwa
Sikikukumbwa mkuuPole uko pande zipi.
1997/98 elnino ilikuwaje haukukumbwa
Jamani mm sio wastara japo nimeona na yeye fb analalamika presha imempanda anataka aombewe ni shida tu zimefananaZenu zinavunjwa lakini ya Rwakatale imeachwa..pagumu hapo
alafu mtoa mada wewe ni wastara? maana nimeona analalam fb
Polisi nao wanajua msiwaonee hapa jirani yangu kuna nyumba mbili za polisi tofauti na wanajeshi watatu nao nyumba zao zinavunjwaInasikitisha sana... Pole mkuu.... na hao vibaraka wanaotumwa nahsi asilimia kubwa ni wapangaji hapa mjini... hawajui uchungu wa nyumba... polisi nao kwasababu wanaishi kota ndo kabisa hawaelewi uchungu wa nyumba...
Tupeane moyo... shida zina mwisho pia...
Utajua mwenyewe, heri nusu Shari kuliko Shari kamili. Chungu lakini ndo dawa. Tufike mahali tufate sheria na taratibu, ukishangilia flani katumbuliwa ndo hivyo hivyo nawe upokee machungu. Tulikuwa tumelala sana ngoja atunyooshe tukae vizuriAlafu nivipeleke wapi?
Wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoa bomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio, kweli tunaisoma namba.
master plan mpya inasemaje kuhusu haya maporiwewe bomoa tu chanika yapo mapori kibao kiwanjwa laki mbili
Kurudisha mfumo si rafikiMakosa yapi mkuu?
Pole mkuu.Wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoa bomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio, kweli tunaisoma namba.
Ha ha ha!!!!! Kama akisema ccm umwambie anaisoma namba au?Poleh sana,ulikua ukawa au CCM mwaka jana?
Ndo ivo yani,walitutesa sana wana ukawa,saiv sie tuliiii,Ha ha ha!!!!! Kama akisema ccm umwambie anaisoma namba au?