Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,050
- 144,458
Kwakweli nimeona video ya watu wakilia na kumtaja mheshimiwa ni kwanini anawafanyia hivi huko mwanamama mmoja akilaani na kutamka maneno haya:
"Watu wengi wameshakufa,iko siku moja na yeye ataondoka,asitudhalilishe hivi......."
Picha za hiyo demolition sasa naona zinachukuliwa na wazungu ambao bila shaka watakuwa ni waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya kimataifa.
Clip iko kwa mwanadada yule wa US.
Haya machozi sijui kama yataenda bure!