Bomoabomoa Dar, wamefikia hatua ya kusema,"iko siku na yeye ataondoka"

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Kwakweli nimeona video ya watu wakilia na kumtaja mheshimiwa ni kwanini anawafanyia hivi huko mwanamama mmoja akilaani na kutamka maneno haya:

"Watu wengi wameshakufa,iko siku moja na yeye ataondoka,asitudhalilishe hivi......."

Picha za hiyo demolition sasa naona zinachukuliwa na wazungu ambao bila shaka watakuwa ni waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya kimataifa.

Clip iko kwa mwanadada yule wa US.

Haya machozi sijui kama yataenda bure!

Nawashauri wanapoongea kwa mapaparazi.. waonyeshe hati zao sa kumiliki maeneo yao. Labda itasaidia zaidi kuondoa kusikika wakilalamka bila kitu cha kuonyeshea. Na serikali naamini itafatilia ilikuwaje.. mwisho labda watalipwa kama walistahili bila kudharau kuambiwa waondoke.
 
Endeleeni na matendo yenu ila mjue Mungu yupo.
 
Nawashauri wanapoongea kwa mapaparazi.. waonyeshe hati zao sa kumiliki maeneo yao. Labda itasaidia zaidi kuondoa kusikika wakilalamka bila kitu cha kuonyeshea. Na serikali naamini itafatilia ilikuwaje.. mwisho labda watalipwa kama walistahili bila kudharau kuambiwa waondoke.

Watalipwa bila ya kufanyiwa tathmini? Embu lala kesho uendelee kusifia chama chako.
 
Hii ID ya taasisi wewe uliyeko shift hii utakuwa mchawi. I swear...
 
Kwakweli nimeona video ya watu wakilia na kumtaja mheshimiwa ni kwanini anawafanyia hivi huko mwanamama mmoja akilaani na kutamka maneno haya:

"Watu wengi wameshakufa,iko siku moja na yeye ataondoka,asitudhalilishe hivi......."

Picha za hiyo demolition sasa naona zinachukuliwa na wazungu ambao bila shaka watakuwa ni waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya kimataifa.

Clip iko kwa mwanadada yule wa US.

Haya machozi sijui kama yataenda bure!
Usimsahau Mzee Lowassa,
Yeye pia watanzania wanyonge walimwombea laana nyingi tu.

Kipindi ni Waziri alikuwa hana huruma kabisa na wananchi wa kawaida , alidiriki hadi kujibinafsishia vitega uchumi vingi vya Serikali na Chama bila kutoa maelezo yanayoeleweka mpaka leo.

Naye siku yake inakuja siyo?

NB: Usiwe mnafiki hata siku moja. Kama Magufuli ana laana basi ujue hata Chadema kuna laana pia: Tena laana KUU MBILI za wale Mawaziri Wakuu wastaafu wawili (Sumaye na Lowassa)
wenye tuhuma lukuki za Ufisadi wa mali za Ummah na historia za Matumizi mabaya ya madaraka.
 
Kwa hiyo unataka kusema makosa ya uliowataja yanahalalisha upuuzi anaoufanya? We namna gani vipi?
 
Nawashauri wanapoongea kwa mapaparazi.. waonyeshe hati zao sa kumiliki maeneo yao. Labda itasaidia zaidi kuondoa kusikika wakilalamka bila kitu cha kuonyeshea. Na serikali naamini itafatilia ilikuwaje.. mwisho labda watalipwa kama walistahili bila kudharau kuambiwa waondoke.
Mtumikie kafiri wako huyo upate kuishi usiongee maisha ya watu kufurahisha mabwana zako na ningekujua usingeamka kesho
 
Usimsahau Mzee Lowassa,
Yeye pia watanzania wanyonge walimwombea laana nyingi tu.

Kipindi ni Waziri alikuwa hana huruma kabisa na wananchi wa kawaida , alidiriki hadi kujibinafsishia vitega uchumi vingi vya Serikali na Chama bila kutoa maelezo yanayoeleweka mpaka leo.

Naye siku yake inakuja siyo?

NB: Usiwe mnafiki hata siku moja. Kama Magufuli ana laana basi ujue hata Chadema kuna laana pia: Tena laana KUU MBILI za wale Mawaziri Wakuu wastaafu wawili (Sumaye na Lowassa)
wenye tuhuma lukuki za Ufisadi wa mali za Ummah na historia za Matumizi mabaya ya madaraka.
Hebu tutajie mambo hata mawili ya Edo ya kiuonevu kwa watu binafsi kiasi cha kulaaniwa. Lazima utofautishe kutimiza wajibu na uonevu ni vitu viwili tofauti. Huyu wa kwako hana UTU KABISA.
 
Nyumba kama hii inabomolewa aisee...
4a95ac0aa3cbbdc5335a8f33159b8566.jpg

b9b058b07b6c20401151486ea0905e3a.jpg
 
Watalipwa bila ya kufanyiwa tathmini? Embu lala kesho uendelee kusifia chama chako.

Kuna watanzania wanaokula awamu hii wananyodo mpaka wanakera.Yaani kuna wakati huwa nafikiria yawezekana siyo binadamu wa kawaida.

Anyway kilichoumbwa na Mungu huwa kina Mwanzo na kina mwisho.Hata jiwe na utajiri wa akina gani iko siku kitaoza kikawa cha kula cha funza na udongo
 
Mimi huwa nawaona baadhi ya binadamu ni wanyama waliopata bahati ya kutembea na miguu miwili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom