VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Ni wazi kuwa ubomoaji wa majumba ya kifahari kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi,Dar es Salaam inavuta hisia za wengi.Wengine tunafuatilia tukishangaa namna wahuni wachache wa nchi hii walivyojilimbikizia mali na kujenga majumba ya thamani kubwa. Serikali inafanya kusudi kuvuta 'attention' ya watu ili wasahau mambo muhimu kama ya migomo na maisha bora.Serikali inajipalilia moto zaidi.Inaongeza chuki kwa wananchi.Kwanini isifanye sirini?
Tunafaidikaje kuangalia matingatinga yao? Ukweli ni kwamba,kila anayevunjiwa nyumba yake ameshalipwa. Serikali pale inafanya maigizo.Fahamuni kuwa Serikali iko kwenye harakati za kuwaaminisha watanzania kuwa yenyewe na viongozi wake si dhaifu.
Mmmmh, lile jengo la TANESCO , Ubungo watalibomoa lini?

Magufuli anaogopa kilomita atakazokimbizwa akivunja hilo jengo.Mmmmh, lile jengo la TANESCO , Ubungo watalibomoa lini?
Magufuli anaogopa kilomita atakazokimbizwa akivunja hilo jengo.
Maeneo ya wapi hayo mkuu? Au ndio mradi daraja la Kigamboni? Kama weshalipwa hakuna shida. Mbona masikini nao wanavunjiwa tu.
I see a lot of sense in your narrations!! Kama wamelipwa basi n usanii wakati walijenga kwa kukiuka sheria! Prof anna Tibaijuka anaonekana kaweza!!! Great if what is narrated above is not true!

na umeona matajiri hawajafanya kitu chochote na mpaka polisi alisema zoezi limeenda vizuri bila vurugu ................ukiona hivyo ujue kuna kitu kimefanyika ndo mana hawajalalamika zaidi ya mmoja alisema wangesema lini wanakuja ili waondoe vyombo vyao...............si bure lazima kuna fidia wamepewa..................zamu ya matajiri imewadia tumelalamika sana kuwa ni masikini tu wanaguswa sasa maghorofa yameangushwa na tingatinga
Nitaamini watakabomoa apartments za pa msasani apposite na TMJ zinazosababisha mafuriko kila mvua inyeshapo, vinginevyo ni ze comedy nyingine