Genius Messi
Member
- Oct 14, 2017
- 74
- 52
Kumfurahisha baba jesca na kauli mbiu yake ya watanzania tuishi kama mashetaniHivi hizi bomoa bomoa huwa zinalenga kuboresha nini?
Tarehe kama ya leo ndo baadhi watu walifanya maamuzi ya ajabu ya kuchagua mabwana wale na bwana yule...Tulieni hivyo hivyo
Ccm at work
Kumbe leo besdei teh watulie hivo hivoTarehe kama ya leo ndo baadhi watu walifanya maamuzi ya ajabu ya kuchagua mabwana wale na bwana yule...