Bomoa bomoa kuendelea nchi nzima

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Ni kwa wale waliojenga maeneo yasiyostahili pamoja na wale waliojipatia vibali hivyo kwa njia za mkato na kujenga maeneo yasiyostahili.

Ni taarifa toka Wizara ya Ardhi na Makazi kupitia Chanel Ten habari.
 
Najua Chadema hawatapingana na hili maana hawana hata choo. Labda waanze tena kutetea mafisadi.
Kwani tokalini ccm mlijenga nyumba?
 
wabongo wabishi sanaa, wabomolewe tu, hakuna namna, kama waliambiwa wasijenge karibu na vyazo vya maji, maeneo ya chemichemi, wao wakajenga zitabomolewa tu
 
Back
Top Bottom