Juma1973
Member
- Jul 19, 2013
- 42
- 14
Mh waziri wa ardhi pamoja na mh makamba huo moto wenu mliouanza usiwe moto wa mabua kutoa mikauliii tu pasina kuchukuliwa hatua stahiki ningependa mfahamu musha waua watu kwaajili ya hili zoezi sasa waheshimiwa isije ikawa ni kwa hawa tuu maana tushaziona ishara za vigogo kutaka kuzuia zoezi hili lisiendeleee.