SHADOWANGEL
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 528
- 349
Nitaanza Kwa kusema
Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyekuwa na wakili wake; huyu alishitakiwa kwake kuwa anatapanya mali zake. Akamwita, akamwambia, Ni habari gani hii ninayosikia juu yako? Toa hesabu ya uwakili wako, kwa kuwa huwezi kuwa wakili tena. Yule wakili akasema moyoni mwake, Nifanyeje? Maana, bwana wangu ananiondolea uwakili. Kulima, siwezi; kuomba, naona haya. Najua nitakalotenda, ili nitakapotolewa katika uwakili, wanikaribishe nyumbani mwao. Akawaita wadeni wa bwana wake, kila mmoja; akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu? Akasema, Vipimo mia vya mafuta. Akamwambia, Twaa hati yako, keti upesi, andika hamsini. Kisha akamwambia mwingine, Na wewe wawiwani? Akasema, Makanda mia ya ngano. Akamwambia, Twaa hati yako, andika themanini. Yule bwana akamsifu wakili dhalimu kwa vile alivyotenda kwa busara; kwa kuwa wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru. Nami nawaambia, Jifanyieni rafiki kwa mali ya udhalimu, ili itakapokosekana wawakaribishe katika makao ya milele.
Mfumo
Hakika najaribu kufikiri ni kufumba macho kwa viongozi walio juu ama ni kutotaka KUJUA HAYA MAMBO YALIANZIA WAPI MPAKA AWA WATU WAKAJA WAKAJENGA WAKAZAA NA WATOTO WAKAAMA NA WENGINE WAKAJA WAKAENDELEA KUISHI NA KUISHI NA MTU AKAJINGE APO YEYE NA FAMILIA YAKE..
Mbali na yote aya kutokea Tulikuwako na serikali ya mtaa mjumbe na viongozi kazaa wa serikali BADO NATAFAKARI HEKIMA YA KUTUMIKA IKIWA NI KOSA NA MWANANCHI AU SERIKALI INAYOONGOZA WANAANCHI KUWEKA MSIMAMO NA KUTOA MAELEKEZO SAHIHI.
RAISI,
Ni hakika katika kila nchi raisi anapoingia madarakani anakuwa na mambo yake ya kufanya katika kuifikisha nchi mahari fulani lakini aya yote YASIPOZINGATIA HISTORIA YA WATU NI UPUUZI MTUPU KATIKA KUJENGA NCHI.
Ombi langu kwa viongozi wote na mlio madarakani TUNAPASWA KUFIKIRI MAISHA BAADA YA AYA YOTE YA KUBOMOLEA WANANCHI KWANI WANA WATOTO FAMILIA NA WATU WANAOWATEGEMEA KAMA NYINYI.
MWISHO
Hatupimi ubora na upuuzi wa nahodha kwa yaliyotokea baharini chomboni mwake baada ya yeye kumuachia nahodha mwingine!Tunapima ubora wake na upuuzi wake kwa yaliyotokea wakati yeye ni nahodha!
Nina Mengi ya Kusema na Kutetea wananchi wenzangu Ila this is Totally disgusted.