Habarini za mchana, wale wa mororgoro road kuanzia stop over na waliondani ya mt 90 za barabara rejeeni nyumbani huku wameanza kubomoa
Hawa wanaovunjiwa ni wana ccm?..waacha wasome number c......................mbele kwa mbele
barabara itapendezampaka msimu uishe tutanyooka na kusoma namba zote mpaka za baiskeli
Happy birthday ingawa nilichelewaDuh!!!!
Acha hizo weweee!Ingekuwa wewe unataka kujenga barabara ungejenga wapi,hewani?Acheni unoko.
Waache si ndio chama walichochagua!Habarini za mchana, wale wa mororgoro road kuanzia stop over na waliondani ya mt 90 za barabara rejeeni nyumbani huku wameanza kubomoa
Mbona unazungumza kirahisi namna hiyo mkuu? Hivi umewahi kumiliki hata kibanda kweli!!wengine tumetii sheria bila shuruti.
tulibomoa wenyewe na kuhama mapema!!!