Liac Bosco
Member
- Sep 6, 2018
- 22
- 3
Samahani ningependa kujua kuhusiana na chuo cha Bombo kilichopo Tanga
chuo ganiSamahani ningependa kujua kuhusiana na chuo cha Bombo kilichopo Tanga
Amo tanga health centre kwa jina jingne Bombochuo gani
Chuo ni kizuri kipo ndani ya hospital ya mkoa bombo majengo mazuri na nafikiri wanaosoma pale wanakuwa wazuri Sana hospital inavifaa vingi na wanapata experience Sana kwenye kutoa huduma za hospital hasa ukizingatia bombo Kuna wagonjwa wengi mno pale na wana hostel nzuri Sana.. za kisasa.. Kama ukifika utaziona na kuziangalia Mara kibaoSamahani ningependa kujua kuhusiana na chuo cha Bombo kilichopo Tanga
Chuo ni kizuri kipo ndani ya hospital ya mkoa bombo majengo mazuri na nafikiri wanaosoma pale wanakuwa wazuri Sana hospital inavifaa vingi na wanapata experience Sana kwenye kutoa huduma za hospital hasa ukizingatia bombo Kuna wagonjwa wengi mno pale na wana hostel nzuri Sana.. za kisasa.. Kama ukifika utaziona na kuziangalia Mara kibao