macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,232
- 60,334
Very crazy! Definately the Saudi(s) will be released soon! Itabidi waendesha bodaboda watengenezewe ushahidi ili wafungwe otherwise serikali itaonekana haifanyi kazi. It doesnt click in mind that they were not suspects but were arrested because they happened to be on the crime scene! How many people were there? Why didnt they arrest all the people at crime scene?
Diversions za kisiasa..yeyote mwenye akili timamu alipaswa kujua tangu awali kwamba bomu halikua ugaidi wala udini..
Mkuu soma vizuri, ''Saudi Arabia's foreign ministry announced Sunday that a Saudi citizen who had been arrested at the same time as the UAE nationals had been freed without charge.''Very crazy! Definately the Saudi(s) will be released soon! Itabidi waendesha bodaboda watengenezewe ushahidi ili wafungwe otherwise serikali itaonekana haifanyi kazi. It doesnt click in mind that they were not suspects but were arrested because they happened to be on the crime scene! How many people were there? Why didnt they arrest all the people at crime scene?
Haya Nchimbi na genge lako njooni na hadithi zingine,
Victor hewa yupo wapi?
Kuna siku mtajiteka wenyewe nakusingizia kuwa mmetekwa!
Mkuu kama ushahidi wa kuwatia hatiani haupo, unalaumu nini?Sishangazwi hata kidogo na jambo hili. Tumezidi kujikomba umangani mpaka inatia aibu. Naona mkuu wa kaya baada ya kuona kimeanza kunuka Ulaya na Marekani wameshaanza kumstukia, sasa kageuza uso anatembeza bakuli nchi za kiarabu. Ndiyo sababu kila kukicha yuko huko na anadiriki 'kuwabembeleza' waje kuwekeza Tanzania kiasi cha kuwapa 'uhuru' wa kuitumia nchi yetu na rasilmali zake kwa namna wanayotaka wao. Hata wamasai sio kitu mbele ya maswahiba wake wa kiarabu; wanahamishwa kutoka kwenye ardhi yao ili wapewe waarabu, ndege zinabeba wanyama wetu kupeleka huko Arabuni mchana kweupe. Sembuse leo wakija kutulipua ataweza kufurukuta?
Tuamke nchi imeshauzwa. Waswahili husema ukiona manyoya jua kashaliwa... Kazi ni kwetu sisi wenye uchungu na nchi yetu kufanya mabadiliko kabla hatujageuzwa wote kuwa watumwa nchini mwetu.
Inawezekana, timiza wajibu wako - Mwalimu Nyerere.
Ukiona unazidiwa akili na mwarabu jua kua ww ni mbulula kabisa.
Mkuu soma vizuri, ''Saudi Arabia's foreign ministry announced Sunday that a Saudi citizen who had been arrested at the same time as the UAE nationals had been freed without charge.''
Eti tungekosa misaada mingi kama tungeendelea kuwashikilia: Barabara ya kwenda Mtwara, uwanja wa kimataifa wa Dodoma, Kodi wanayolipa OBC ya Arusha, etc. Kwa hiyo ni heri tuuguze majeraha wenyewe kuliko kuikosa hiyo misaada feki.kumbe J.K alikatisha safari ili aje kuhakikisha jamaa wanaachiwa?