Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Ndugu yangu kama wewe ni mfuatiliaji wa hao majirani utakumbuka kwa sasa Kenya sasa hivi wanajenga SGR kwa speed ya kuelekea kwa Odinga ambapo M7 alienda kukagua hiyo kitu.
Mmawia kuna shutuma kuwa uhuru ana wa finance wapizani wa M7, niliwahi kuogea na Mganda mmoja akaniambia shutuma hizo zinafukuta kweli kweli lakini chini kwa chini, sidhani kama wanaweza kupitishia huko