Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Haya makampuni ni ya cdmHawaungi mkono awamu hii
Haya makampuni ni ya cdmHawaungi mkono awamu hii
Wanabanwa na PSA kwenye utekelezaji na timeframe ya kila hatua. Suala la muda tu utasikia fine au kuna mdau mpya.
Ooh really come on give us a breakBusiness has nothing to do with this pile of shit
Ee Bwana eeh, siku ya kifo cha nyani yaani miti yote inateleza!
Sakata lipo hivi
Wabia watatu Tullow, CNOOC na Total wanashare sawa za asilimia 100 kwa upande wao ambazo zimegawanya kwa 33.3 kwa kila na wanamajukumu sawa ya kufanya investment za production including gharama ya hilo bomba la mafuta.
Tullow hana interest ya kutumia hela yake kufanya hizo production investment na ndio chanzo cha mradi kusimama.
Katika harakati za kunusuru mradi waliamua kuuza share zao 22% (or something) kwa wabia waliobaki na sehemu ya malipo itumike kwenye huo uwekezaji kutokana gharama watakazotakiwa kutoa with the remaining shares.
Walikubaliana watauza hizo share for $900m
Malipo yenyewe ni kwamba watalipwa $100m kwanza, $50m bomba likimaliza na $50m mafuta yakianza kuuzwa.
Na $700m inayobaki itatumika kama sehemu ya mchango wao kwenye investment za production.
Serikari ya Uganda inachotambua ni kwamba Tullow kauza share zake na atalipwa $900m hawana interest na makubaliano yao mengine kwa jinsi watavyolipana. Hivyo kutokana na hayo mauzo kuna capital gain tax ya $167m ambayo wanadai soon as transfer of shares take place.
Kutokana na makubaliano yenyewe ya malipo Tullow ndio kwanza anapewa $100m na hizo nyingine baadae wasingeweza lipa hiyo kodi immediately.
Wabia wakakubaliana kumalizana na serikari Tullow atoe $85m na wao wanamalizia $82m.
Lakini katika hayo hayo mauzo au sehemu ya malipo ya kodi on top of $167m capital gain tax serikari ya Uganda inataka wabia wajenge na miundombinu ambapo Tullow ataki na wabia awataki.
Na waliwekeana deadline ikifika muda fulani kama option ya kuuza share aijafanikiwa Tullow itabidi atafute hela yote ya uwekezaji wa production abaki na share zake. This might come to over $1 billion if not close to $2 billion.
Hapo walipo Tullow as a company wanadeni la zaidi ya $2.4billion kwenye balance statement kwenda kukopa tena bank kiasi kikubwa kwenye investment ambayo itachukua miaka that is not in their interest kama wana commitment zingine za aina hiyo kwenye miradi yao mingine mikubwa zaidi duniani.
Kwakuwa hawana hiyo hela kwa sasa nadhani ndio itakuwa sababu ya mradi wenyewe wote kusimamishwa mpaka waje na plan nyingine ya kuugharamia..
Cc:Magonjwa MtambukaEe Bwana eeh, siku ya kifo cha nyani yaani miti yote inateleza!
Pia waangalie mchezo huu unaweza ukawa unachezwa na majirani zetu K. Wao tiyari wamea za kuuza mapipa kadhaa ya crude oil.
Nuksi tupu!!
Ngoma inahamishiwa Kenya hiyoBavicha wamepata vya kudandia
Duh...!.
P
Tatizo ni Tullow na serikari ya Uganda position.
Tullow hiyo hela kwa sasa hawana, kwa sasa tu mradi wao wa bomba la mafuta Kenya unasuasua imebidi waanze kuuza mafuta hili wa fund investment zao (something tells me mkataba wa Kenya na Tullow utakuwa wa ovyo sana).
Solution A ni serikari ya Uganda kukubaliana na investors kuwapa nafuu mradi uanze maana kama kodi wapo tayari kulipa hila hizo investment zingine serikari inazowapa ndio a stretch too far.
Solution B serikari ya Tanzania iache kusubiri vya bure, kwa sababu kuna economic benefit nyingi za mradi kama ajira, port kuwa busy, tozo ya kupitisha mafuta etc. Ikae na investors wajue exactly wamekwama wapi ikibidi waingie mkataba nao wachangie kama $50-100m provided wapewe tarehe maalum mradi utakapoanza, uhakika hakuna kuamisha mradi na hao wawekezaji wakishindwa kutekeleza makubaliano warudishe hela na fidia juu.
That’s my take it doesn’t mean there aren’t other better solutions.

Kenya is now an oil exporting country
Kenya exported its first batch of oil. President Uhuru Kenyatta declared the shipment of 200,000 barrels of crude oil a special moment in Kenya's history and a turning point in its destiny.www.google.co.uk
Solution A ni serikari ya Uganda kukubaliana na investors kuwapa nafuu mradi uanze maana kama kodi wapo tayari kulipa hila hizo investment zingine serikari inazowapa ndio a stretch too far.
Solution B serikari ya Tanzania iache kusubiri vya bure, kwa sababu kuna economic benefit nyingi za mradi kama ajira, port kuwa busy, tozo ya kupitisha mafuta etc. Ikae na investors wajue exactly wamekwama wapi ikibidi waingie mkataba nao wachangie kama $50-100m provided wapewe tarehe maalum mradi utakapoanza, uhakika hakuna kuamisha mradi na hao wawekezaji wakishindwa kutekeleza makubaliano warudishe hela na fidia juu.
That’s my take it doesn’t mean there aren’t other better solutions.
Mwageni povu weee siku bomba linaanza kulazwa Tanzania mjifungie chini ya uvungu kama jana ndege ilivyorudi.
Business has nothing to do with this pile of shit
Utoto nao ni shida, kama ilivyo shida kufikiria nje ya akili za kawaida "deal la total lisipo kuwepo haimaanishi kwamba project imekufa kwani inaweza kufanya na kampuni zingine"Amakweli huu ni mwaka wetu wa shida
Umeona walivyotaka kumpiga changa la macho Mu7 eti wameuza Usd Milion 900 eti wanalipwa Us 100, na michako mingine ya kihuni huni ifuate. Kisha eti Usd & 700M zinatafutiwa wapi eti? Imekula kwao mwenye akili zake kaja kuchota MaarifaDuh...!.
P