Bomba La Mafuta: Total SA yasitisha rasmi mpango wa kujenga bomba la mafuta la Tanga-Hoima

Sakata lipo hivi

Wabia watatu Tullow, CNOOC na Total wanashare sawa za asilimia 100 kwa upande wao ambazo zimegawanya kwa 33.3 kwa kila na wanamajukumu sawa ya kufanya investment za production including gharama ya hilo bomba la mafuta.

Tullow hana interest ya kutumia hela yake kufanya hizo production investment na ndio chanzo cha mradi kusimama.

Katika harakati za kunusuru mradi waliamua kuuza share zao 22% (or something) kwa wabia waliobaki na sehemu ya malipo itumike kwenye huo uwekezaji kutokana gharama watakazotakiwa kutoa with the remaining shares.

Walikubaliana watauza hizo share for $900m

Malipo yenyewe ni kwamba watalipwa $100m kwanza, $50m bomba likimaliza na $50m mafuta yakianza kuuzwa.

Na $700m inayobaki itatumika kama sehemu ya mchango wao kwenye investment za production.

Serikari ya Uganda inachotambua ni kwamba Tullow kauza share zake na atalipwa $900m hawana interest na makubaliano yao mengine kwa jinsi watavyolipana. Hivyo kutokana na hayo mauzo kuna capital gain tax ya $167m ambayo wanadai soon as transfer of shares take place.

Kutokana na makubaliano yenyewe ya malipo Tullow ndio kwanza anapewa $100m na hizo nyingine baadae wasingeweza lipa hiyo kodi immediately.

Wabia wakakubaliana kumalizana na serikari Tullow atoe $85m na wao wanamalizia $82m.

Lakini katika hayo hayo mauzo au sehemu ya malipo ya kodi on top of $167m capital gain tax serikari ya Uganda inataka wabia wajenge na miundombinu ambapo Tullow ataki na wabia awataki.

Na waliwekeana deadline ikifika muda fulani kama option ya kuuza share aijafanikiwa Tullow itabidi atafute hela yote ya uwekezaji wa production abaki na share zake. This might come to over $1 billion if not close to $2 billion.

Hapo walipo Tullow as a company wanadeni la zaidi ya $2.4billion kwenye balance statement kwenda kukopa tena bank kiasi kikubwa kwenye investment ambayo itachukua miaka that is not in their interest kama wana commitment zingine za aina hiyo kwenye miradi yao mingine mikubwa zaidi duniani.

Kwakuwa hawana hiyo hela kwa sasa nadhani ndio itakuwa sababu ya mradi wenyewe wote kusimamishwa mpaka waje na plan nyingine ya kuugharamia..

Sasa mkuu Kilatha kwa mtazamo wako ni nini kifanyike kunusuru mradi huu? na jee hakukuwa na Plan B?
 
Mkuu Kilatha, thanks, this is very insightful.
P
 
Sasa mkuu Kilatha kwa mtazamo wako ni nini kifanyike kunusuru mradi huu? na jee hakukuwa na Plan B?
Tatizo ni Tullow na serikari ya Uganda position.

Tullow hiyo hela hawana, kwa sasa tu mradi wao wa bomba la mafuta Kenya unasuasua imebidi waanze kuuza mafuta hili wa fund investment zao (something tells me mkataba wa Kenya na Tullow utakuwa wa ovyo sana).

Solution A ni serikari ya Uganda kukubaliana na investors kuwapa nafuu mradi uanze maana kama kodi wapo tayari kulipa hila hizo investment zingine serikari inazowapa ndio a stretch too far.

Solution B serikari ya Tanzania iache kusubiri vya bure, kwa sababu kuna economic benefit nyingi za mradi kama ajira, port kuwa busy, tozo ya kupitisha mafuta etc. Ikae na investors wajue exactly wamekwama wapi ikibidi waingie mkataba nao wachangie kama $50-100m provided wapewe tarehe maalum mradi utakapoanza, uhakika hakuna kuamisha mradi na hao wawekezaji wakishindwa kutekeleza makubaliano warudishe hela na fidia juu.

That’s my take it doesn’t mean there aren’t other better solutions.
 
Mwageni povu weee siku bomba linaanza kulazwa Tanzania mjifungie chini ya uvungu kama jana ndege ilivyorudi.
 
Bila utawala wa sheria kutamalaki msitegemee msaada wa wapenda haki
Hawa wasengEee kinoma mpk mipango yote inawekwa mezani na taratibu nyingi kufanyika na tena mpk utekelezaji kutaka kuanza walikuwa hawajawahi kukaa meza moja kuyamaliza hayo waliyotofautiana....sasa nimeelewa kwanini kesho M7 anakuja
 
Hakika ubabe hautusaidii kitu
Biashara za uwekazaji mkubwa unahitaji mitaji mikubwa na utaalamu was hali ya juu so hat Saudis wanawatumia wataalamu wakimarekani na uingereza pia na wahalanzi so kama siasa zenu ni za kibabe na hazitabiriki usitegemee kufanikiwa kirahisi
 
Isije ikawa mchezo wa mazingaombwe wanaotuchezea haya makampuni!

Uamzi wa kujenga bomba ulifikiwa kabla ya Tullow hata hajawa na fikra za kuuza hisa, itakuwaje sasa ndio liwe jambo la kufa na kupona katika ujenzi wa bomba?

Inawezekana Tullow na Total sasa wakawa wanatuchezea sarakasi?

Itashangaza sana wakilibeba tena bomba na kulipeleka lilikotoka! M7 naye akiingizwa choo hicho atakuwa juha mkubwa!

Museveni haya mafuta amehangaika nayo zaidi ya miaka kumi, hata senti tano hajaiona. Sasa wanamchezea akili kama mtoto mdogo!

Ifike mahali nchi hizi maskini ni lazima zikatae kuchezewa. Tuache kuweka matumaini mengi kupita kiasi juu kutegemea mali asili kama mafuta na madini kuwa tegemeo la kuzikwamua nchi hizi kutoka katika ufukara wa kutupwa. Kuna nchi kibao duniani zimeweza kupata maendeleo bila ya kutegemea mali asili. Kwa nini iwe tofauti kwetu?

Dawa ya makampuni kama haya ni kuweka sheria zinazowataka kuendeleza mali walizogundua katika muda maalum. Wakishindwa kufanya hivyo mali hizo zinarudishwa kwa wenyewe, wananchi. Makampuni yatafidiwa tu gharama zilizotumika katika kazi za ugunduzi.
Hatua hii itawatia akili kichwani.

Hawa wa kwetu na gesi na wao sasa hawana haraka. Wapo kama hawapo, huwasikii tena, hata mnong'ono, kwa sababu wanajua sheria zinawalinda hata ikichukua miaka ishirini, bila kujali mahitaji ya wenye nchi.

Tukisema eneo hilo sasa tunataka kulifanya liwe la kufugia samaki, watakataa kuruhusu?
Kumbe bado mnahitaji kusaidiwa?
Seriously?mbona mnawaita majina ya ajabu ajabu hao wazungu?
 
Sisi tuna maela mengi sana tutatumia maela yetu ya ndani tujenge huu muradi
Sakata lipo hivi

Wabia watatu Tullow, CNOOC na Total wanashare sawa za asilimia 100 kwa upande wao ambazo zimegawanya kwa 33.3 kwa kila na wanamajukumu sawa ya kufanya investment za production including gharama ya hilo bomba la mafuta.

Tullow hana interest ya kutumia hela yake kufanya hizo production investment na ndio chanzo cha mradi kusimama.

Katika harakati za kunusuru mradi waliamua kuuza share zao 22% (or something) kwa wabia waliobaki na sehemu ya malipo itumike kwenye huo uwekezaji kutokana gharama watakazotakiwa kutoa with the remaining shares.

Walikubaliana watauza hizo share for $900m

Malipo yenyewe ni kwamba watalipwa $100m kwanza, $50m bomba likimaliza na $50m mafuta yakianza kuuzwa.

Na $700m inayobaki itatumika kama sehemu ya mchango wao kwenye investment za production.

Serikari ya Uganda inachotambua ni kwamba Tullow kauza share zake na atalipwa $900m hawana interest na makubaliano yao mengine kwa jinsi watavyolipana. Hivyo kutokana na hayo mauzo kuna capital gain tax ya $167m ambayo wanadai soon as transfer of shares take place.

Kutokana na makubaliano yenyewe ya malipo Tullow ndio kwanza anapewa $100m na hizo nyingine baadae wasingeweza lipa hiyo kodi immediately.

Wabia wakakubaliana kumalizana na serikari Tullow atoe $85m na wao wanamalizia $82m.

Lakini katika hayo hayo mauzo au sehemu ya malipo ya kodi on top of $167m capital gain tax serikari ya Uganda inataka wabia wajenge na miundombinu ambapo Tullow ataki na wabia awataki.

Na waliwekeana deadline ikifika muda fulani kama option ya kuuza share aijafanikiwa Tullow itabidi atafute hela yote ya uwekezaji wa production abaki na share zake. This might come to over $1 billion if not close to $2 billion.

Hapo walipo Tullow as a company wanadeni la zaidi ya $2.4billion kwenye balance statement kwenda kukopa tena bank kiasi kikubwa kwenye investment ambayo itachukua miaka that is not in their interest kama wana commitment zingine za aina hiyo kwenye miradi yao mingine mikubwa zaidi duniani.

Kwakuwa hawana hiyo hela kwa sasa nadhani ndio itakuwa sababu ya mradi wenyewe wote kusimamishwa mpaka waje na plan nyingine ya kuugharamia..
 
Cc:Wakudadavua

Back
Top Bottom