Bomba La Mafuta: Total SA yasitisha rasmi mpango wa kujenga bomba la mafuta la Tanga-Hoima

Pia waangalie mchezo huu unaweza ukawa unachezwa na majirani zetu K. Wao tiyari wamea za kuuza mapipa kadhaa ya crude oil.
Huko ndiko wasiwasi wangu ulipo. Sikutaka tu kulitaja hilo bayana lakini ndio maana yangu ya kuitaja m'michezo ya sarakasi'.

Wakifanya hivyo, nitashangaa kuiona Tanzania ikiendelea katika ushirika huo
 
Do not overly blow the situation out of propotion.The breakdown of the deal is not a big setback to Tanzania.This was a Ugandan Project,Tanzania was only going to benefit through land provision,employment oppotunities and other misceleneous activities.So you see it's not a big deal to Tanzania.
By the way if the deal between Total SA and Tullow has broken down,I do not see why the Chinese should not be invited to take up the Project,they are good after all,inspite of the West always unnecessarily and unfairly demonizing them.Unfortunately you are also doing the same.
Kama wewe ulikuwa huoni/hujui tunachonufaika nacho katika bomba hilo utakuwa hujui kitu.
Lakini hapa naona ni 'denial' ndio msukumo unaokuendesha useme haya.
 
Ndio maana kila siku nasema watu walau wawe na background knowledge ya vitu kwanza kabla ya kuanza majibizano.

Ni hivi mkataba una aina mbili za terms
(I) ‘expressed terms’ ambazo ni makubaliano ya party involved on value of exchange na other conditions za mkataba.

(II) ‘implied terms’ zipo za aina mbili customs terms na statutory terms. Hivyo basi sheria husika za nchi zina nguvu kubwa ndani ya mkataba ambazo lazima ziwe sehemu ya terms na usipoziweka wakati unaingia basi unatoa mwanya rahisi sana wa kuvunja mkataba au mahakamani unaweza kuwa unforceable ukienda kuishitaki serikari.

Sheria zetu za mafuta in terms of contract zinalenga framework za Production Sharing Agreement. Sasa ni jukumu lako kuelewa clauses zinazoendana na mikataba ya aina hiyo.

Ndio maana kwenye sheria zilizopitishwa kwa hati ya dharura zina majedwali ya ujazo wa visima jinsi mapato yatakavyo gawanya na share zitakavyobadilika kwa kadri mwekezaji anavyorudisha hela yake inataka uelewa specific za hizo frameworks uone serikari ilikuwa inajikinga na nini.

Sasa kama ulikuwa uelewi hizo ni implied terms za mkataba at least kwa ile ambayo ilikuwa aina makubaliano rasmi kabla ya sheria kutangwa. Kwa hivyo uitaji kuona details zote za mkataba kujua what the government will earn watu wakianza kuchimba.
Mkuu unapoteza muda kuwajibu baadhi ya watu hawapo hapa kufahamu vitu bali ni ushabiki wa ccm na ukawa shamefully ndiko Tanzania tulikofika.
 
Huko ndiko wasiwasi wangu ulipo. Sikutaka tu kulitaja hilo bayana lakini ndio maana yangu ya kuitaja m'michezo ya sarakasi'.

Wakifanya hivyo, nitashangaa kuiona Tanzania ikiendelea katika ushirika huo
Ha, Mkuu, dawa siyo kuwakimbia. Ni kutumia brain zaidi. Kuna kitu fulani naona Mkuu wetu analack hasa issue ya biashara na viwanda. Sitalisema leo, ila tunahitaji lobbiests zaidi kuliko tunavyoamini kuwa mtu akiwa mwanaCCM basi ataweza kuniunga mkono. Lobbiests ni diaspora yetu, highly experienced and talented personalities ktk biashara etc. Amini usiamini Dangote hakauki ikulu ya Nigeria, hapa kwetu ni tifauti. Unakusanya walalamikaji Ikulu badala ya business materials
 
Hili ninakubaliana nawe. Tatizo ni 'brain.'

Kwenye hao ma'lobbyists' wa diaspora, nimetoka kapa!
Tuna watz wengi wako nje ya nchi, inafaa tuwatumie. Sekta ya utalii kwa kipindi cha karibuni wameonyesha mfano mzuri wa ninachokimaanisha.
 
It is a blow for our teams that were set up for the project. After the hard work, they are demobilizing without going to the phase that would be beneficial economically.
Chinese are for China. They will just take the black gold for free. They will do everything themselves. Yes, western countries have issues.... but the magnitude of Chinese run economic problems is incomparable
Why take it for free,kwani Waganda wamelala.
 
Kama wewe ulikuwa huoni/hujui tunachonufaika nacho katika bomba hilo utakuwa hujui kitu.
Lakini hapa naona ni 'denial' ndio msukumo unaokuendesha useme haya.
Nasisitiza kwamba bomba hilo linapitisha mafuta ya Uganda sio Tanzania.Sisi tunafaidika only through side activities.
 
Kenya washafanya yao tayari hilo bomba ni kwao
Huko ndiko wasiwasi wangu ulipo. Sikutaka tu kulitaja hilo bayana lakini ndio maana yangu ya kuitaja m'michezo ya sarakasi'.

Wakifanya hivyo, nitashangaa kuiona Tanzania ikiendelea katika ushirika huo
 
Why take it for free,kwani Waganda wamelala.
Who said somebody wants to take for free? Africans think with scarcity mentality. And we have always been caught be suprises. How could they transport crude to the foreign markets?
In the region, which other countries have crude? What do they do with it? Are they any special?
 
bro heshima yako... umefafanua vyema sana... infact hii itafaa kuwa uzi kamili wenye kufafanua hili sakata ili wengi waelewe sababu.
Sakata lipo hivi

Wabia watatu Tullow, CNOOC na Total wanashare sawa za asilimia 100 kwa upande wao ambazo zimegawanya kwa 33.3 kwa kila na wanamajukumu sawa ya kufanya investment za production including gharama ya hilo bomba la mafuta.

Tullow hana interest ya kutumia hela yake kufanya hizo production investment na ndio chanzo cha mradi kusimama.

Katika harakati za kunusuru mradi waliamua kuuza share zao 22% (or something) kwa wabia waliobaki na sehemu ya malipo itumike kwenye huo uwekezaji kutokana gharama watakazotakiwa kutoa with the remaining shares.

Walikubaliana watauza hizo share for $900m

Malipo yenyewe ni kwamba watalipwa $100m kwanza, $50m bomba likimaliza na $50m mafuta yakianza kuuzwa.

Na $700m inayobaki itatumika kama sehemu ya mchango wao kwenye investment za production.

Serikari ya Uganda inachotambua ni kwamba Tullow kauza share zake na atalipwa $900m hawana interest na makubaliano yao mengine kwa jinsi watavyolipana. Hivyo kutokana na hayo mauzo kuna capital gain tax ya $167m ambayo wanadai soon as transfer of shares take place.

Kutokana na makubaliano yenyewe ya malipo Tullow ndio kwanza anapewa $100m na hizo nyingine baadae wasingeweza lipa hiyo kodi immediately.

Wabia wakakubaliana kumalizana na serikari Tullow atoe $85m na wao wanamalizia $82m.

Lakini katika hayo hayo mauzo au sehemu ya malipo ya kodi on top of $167m capital gain tax serikari ya Uganda inataka wabia wajenge na miundombinu ambapo Tullow ataki na wabia awataki.

Na waliwekeana deadline ikifika muda fulani kama option ya kuuza share aijafanikiwa Tullow itabidi atafute hela yote ya uwekezaji wa production abaki na share zake. This might come to over $1 billion if not close to $2 billion.

Hapo walipo Tullow as a company wanadeni la zaidi ya $2.4billion kwenye balance statement kwenda kukopa tena bank kiasi kikubwa kwenye investment ambayo itachukua miaka that is not in their interest kama wana commitment zingine za aina hiyo kwenye miradi yao mingine mikubwa zaidi duniani.

Kwakuwa hawana hiyo hela kwa sasa nadhani ndio itakuwa sababu ya mradi wenyewe wote kusimamishwa mpaka waje na plan nyingine ya kuugharamia..
 
Who said somebody wants to take for free? Africans think with scarcity mentality. And we have always been caught be suprises. How could they transport crude to the foreign markets?
In the region, which other countries have crude? What do they do with it? Are they any special?
This is what you said,
"Chinese are for China. They will just take the black gold for free."
 
Sakata lipo hivi

Wabia watatu Tullow, CNOOC na Total wanashare sawa za asilimia 100 kwa upande wao ambazo zimegawanya kwa 33.3 kwa kila na wanamajukumu sawa ya kufanya investment za production including gharama ya hilo bomba la mafuta.

Tullow hana interest ya kutumia hela yake kufanya hizo production investment na ndio chanzo cha mradi kusimama.

Katika harakati za kunusuru mradi waliamua kuuza share zao 22% (or something) kwa wabia waliobaki na sehemu ya malipo itumike kwenye huo uwekezaji kutokana gharama watakazotakiwa kutoa with the remaining shares.

Walikubaliana watauza hizo share for $900m

Malipo yenyewe ni kwamba watalipwa $100m kwanza, $50m bomba likimaliza na $50m mafuta yakianza kuuzwa.

Na $700m inayobaki itatumika kama sehemu ya mchango wao kwenye investment za production.

Serikari ya Uganda inachotambua ni kwamba Tullow kauza share zake na atalipwa $900m hawana interest na makubaliano yao mengine kwa jinsi watavyolipana. Hivyo kutokana na hayo mauzo kuna capital gain tax ya $167m ambayo wanadai soon as transfer of shares take place.

Kutokana na makubaliano yenyewe ya malipo Tullow ndio kwanza anapewa $100m na hizo nyingine baadae wasingeweza lipa hiyo kodi immediately.

Wabia wakakubaliana kumalizana na serikari Tullow atoe $85m na wao wanamalizia $82m.

Lakini katika hayo hayo mauzo au sehemu ya malipo ya kodi on top of $167m capital gain tax serikari ya Uganda inataka wabia wajenge na miundombinu ambapo Tullow ataki na wabia awataki.

Na waliwekeana deadline ikifika muda fulani kama option ya kuuza share aijafanikiwa Tullow itabidi atafute hela yote ya uwekezaji wa production abaki na share zake. This might come to over $1 billion if not close to $2 billion.

Hapo walipo Tullow as a company wanadeni la zaidi ya $2.4billion kwenye balance statement kwenda kukopa tena bank kiasi kikubwa kwenye investment ambayo itachukua miaka that is not in their interest kama wana commitment zingine za aina hiyo kwenye miradi yao mingine mikubwa zaidi duniani.

Kwakuwa hawana hiyo hela kwa sasa nadhani ndio itakuwa sababu ya mradi wenyewe wote kusimamishwa mpaka waje na plan nyingine ya kuugharamia..
Hapo ndio anatokea mh Uhuru, atawaambia hiyo capital gain atalipa yeye, na miundo mbinu yote juu yake ila Bomba lipite Kenya. Na inawezekena huo mchezo wote kauvuruga yeye, halafu kaja kutulainisha na vizawadi vya dhahabu kumbe kuna kipigo anataka kushusha. Mitu ya Kenya akili mingi
 
Back
Top Bottom