Ila mtaniua jaman hahahahaha#hapakazinabata
#2020twendenamembe
ukitaka usife fanya kama hivi:Ila mtaniua jaman hahahahaha
Kweli kabisa2020 ni Membe
MK254 njoo huku uichukue hii habari tuijadili kwenye jukwaa la kenyakuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania.
Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.
Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo.
Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania. Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo.
Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.
Itakuwa kuna kitu pia wameropoka cha maudhi maana hawachelewi kuropokaKaguta Namba mbaya sana.
Weka chanzo cha taarifa yako.kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania.
Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.
Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo.
Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania. Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo.
Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.
Source itakuwa ni roho mtakatifuMleta mada litendee haki jukwaa weka source
Ha ha ha sio pepo la ChademaSource itakuwa ni roho mtakatifu
Hahahahahahahaha chadema ndiyo roho mtakatifuHa ha ha sio pepo la Chadema
Mtajichekesha na kucheka wenyewe.# Magufuli for Life2020 ni Membe
Haiwezi kuzuia kuhamishia Kenya kama madai mapya ya Tanzania yatakuwa na gharama kubwa kuliko kuhamisha. Hapa kuna mkono wa makumpuni makubwa na watoa fedha.Weka chanzo cha taarifa yako.
Bomba lilishaanza kujengwa siku nyingi na mdogo yupo kwenye huo mradi