myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,141
lolote linaweza kutokea huo mradi...
Eti ndugu zangu suala la bomba la mafuta limefikia wapi?. Mbona kimya sana hata mrejesho hakuna.
tena lile li bombadia lenye siti karibia 270 ndio safi sana kutoa viti vyake tukapeleke ward schoolKuna mtu ameanza kuwaandaa kisaikolojia; ameandika humu kuwa hata biashara ya ndege ikibuma (kama inavyotegemewa na kila mtu mwenye akili timamu na anaejua biashara zinavyotakiwa kuendeshwa) viti vya ndege vipelekwe shule za kata.
tuliambia kuwa mradi huo utakuza uchumi wa nchi na ajira kwa wananchi ndio maana mleta maada kkauliza umefikia wap saiz? na kama kosa si la watz wote bali ni yule aliyetuaminisha na aliyepromoteWTZ, hovyo sana!!, mafuta ni ya Uganda sisi ilikuwa ni njia tu ya kuyasafirishia hayo mafuta, tumeamua kulala mlango wazi kwa bahati ya mwenzetu!!. Kwanini na sisi tusitafute mafuta yetu??, au kwanini tusichimbe chuma cha liganga na mchuchuma??.
Tumesahau kauli ya wahenga; "kimfaacho mtu chake."
tuliambia kuwa mradi huo utakuza uchumi wa nchi na ajira kwa wananchi ndio maana mleta maada kkauliza umefikia wap saiz? na kama kosa si la watz wote bali ni yule aliyetuaminisha na aliyepromote
why we are thinking negatively? Wakati hii ni nchi yetu? Mm nafikiri inatupasa Kumwomba MUNGU KWA MILADI YOTE ALIOANZISHA MHESHIMIWA RAIS IENDELEE KUFANYA VZR.Kuna mtu ameanza kuwaandaa kisaikolojia; ameandika humu kuwa hata biashara ya ndege ikibuma (kama inavyotegemewa na kila mtu mwenye akili timamu na anaejua biashara zinavyotakiwa kuendeshwa) viti vya ndege vipelekwe shule za kata.