mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Mwaka juz alitujia M7 tanga pamoja na mwenyeji wake, macho ya watanzania wote yalikua pale na ahadi kemkem za kuridhisha na kutia moyo zilitolewa kila mtanzania alifarijika hasa Wakazi wa tanga
Ahadi ilikua Ni mapema January 2018 mradi utaanza Hali iliyopelekea wageni wengi hasa wasukuma kuja tanga ili kuwania mradi ukianza wapate vibarua, television ya taifa haikua nyuma ilipromote Sana mradi huo kila baada ya mda kidogo Ni speech za muheshimiwa kuhusu mradi huo
Leo Ni January 2019 hakuna jipya Wala haliongelewi Tena hata tbc yenyewe nahisi hawajui kinachoendelea Mana kimuhemuhe Cha kulitangaza kwisha wamehamia kwenye maair bus
Tunaomba kaambiwa ukweli huu mradi upo au ndo bas Tena
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app