BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,151
- 2,161
Vuguvugu la Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar unaweza kuyeyusha ndoto za waTanzania za kuyafikia malengo yao...Shirika la misaada la US yani MCC tiyari limeshaingilia kati na limezuia takribani bilion 1000/= za kitanzania ambazo zilikua zielekezwe vijijini na vijiji vyetu hali yake ni dhohofu...Umoja wa Ulaya nao tunategemea wataingilia kati na uenda nao aidha wakazuia fedha zilizokua zikiletwa kwenye miradi mbalimbali au kuzuia fedha kwenye bajeti moja kwa moja na US nae anaweza kuzuia misaada ya kibajeti...Ikumbukwe US ndo baba wa Dunia kwa sasa ata hii miradi yote aidha inafanywa na mCHINA au nani MAREKANI akiingilia hua inakwama...kwasasa KENYA na TANZANIA wanagombania dili la kupitishwa bomba lamafuta lakini haijalishi TOTAL na TULOIL sio kampuni za Mmarekani lakini anaushawishi wa moja kwa moja kuziua hilo bomba lisipite TZ km akitaka na uenda akaamuru sasa ili kuishinikiza TZ na CCM kurudi ktk misingi ya demokrasia...Mfano IRAN marekani japo hakua na biashara ya moja kwa moja na Iran lakini aliziua makampuni mengi ya nchi nyingine kuimport oil na yalitii....Natabiri tu kua uenda bomba la mafuta likaelekezwa KENYA na watalii kuzuiwa kuja TZ na ZENJ apo patakua patamu uku makusanyoya kodi yakidrop hadi