Bomba kuu la DAWASCO limepasuka

Issa SLuu

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
2,303
1,802
Wakuu kuna bomba kubwa la DAWASCO hapa maeneo ya BOKO nyaishozi karibu na petrol station ya GBP,,limepasuka usiku huu,ni HATARI,, muda Wowote kutakuwa mafuruko km ya jangwani, wahusika muwai kuja kulidhibiti hali tete
 
Hatuna mahi cku ya pili leo hapo itakuwa utata zaidi
 
Back
Top Bottom