Am saying this because of my pin-hole sight!Jamani hayo ndio "matunda" ya Islamic Sharia ambayo Al Shabaab wanataka kuieneza kule Somalia! Ni damu damu damu mtindo mmoja! Washabiki wa Mahakama za Kadhi kwa Tanzania kuweni makini sana na mnachokishabikia! Hao watu wamevaa ngozi za kondoo kwa nje, lakini ndani ni mbwamwitu wakali sana, wanatisha kupita maelezo!
Mkuu usilojua ni usiku wa kiza. Hao al Shabab umeshajiuliza wanapata wapi silaha na support??
Ningeshauri Tz isijiingize kwene matatizo ya watu wengine maana twajua gharama italipwa na wavuja jasho akina siye tuso na mbele wala nyuma.
Tulijiingiza kwene vita ya ukombozi kusini mwa Africa..WHO REMEMBERS US TODAY??
Am saying this because of my pin-hole sight!
Jamani hayo ndio "matunda" ya Islamic Sharia ambayo Al Shabaab wanataka kuieneza kule Somalia! Ni damu damu damu mtindo mmoja! Washabiki wa Mahakama za Kadhi kwa Tanzania kuweni makini sana na mnachokishabikia! Hao watu wamevaa ngozi za kondoo kwa nje, lakini ndani ni mbwamwitu wakali sana, wanatisha kupita maelezo!
Mkuu usilojua ni usiku wa kiza. Hao al Shabab umeshajiuliza wanapata wapi silaha na support??
Ningeshauri Tz isijiingize kwene matatizo ya watu wengine maana twajua gharama italipwa na wavuja jasho akina siye tuso na mbele wala nyuma.
Tulijiingiza kwene vita ya ukombozi kusini mwa Africa..WHO REMEMBERS US TODAY??
Kwani wanaodai mahakama ya kadhi Tanzania ni nani kwa mtazamo wako?
i. Al-shabab
ii. Wasomali,
iii. Terrorists
iv. Waislamu waTanzania ambao na kwa maantiki ya maandiko yako hapa unajaribu kuwakebehi kama waigaji tu sio waislamu,
v. Ni nani hasa? Watanzania au sio watanzania?
Huoni kuwa huu ufinyu wa fikra na matusi ya dharau juu ya waislamu ndio yanayopelekea mitafaruku isio na maana?. Au ndio unatekeleza mikakati uliyotumwa ya kuendeleza provocations dhidi ya waislamu ili wa-loose temper?
Tanzania hatuyataki haya??? Nchi yetu ina asilimia kubwa ya waumini wailsmau na wakristo wanaotambuana na kusikilizana. Ni wewe na hao ndio mnaohitaji kujifunza: Hebu lete majibu ya maswali haya ili watu wakutambue humu jamvini.
i. Ni nini maana ya Mahakama ya kadhi?
i. Sababu gani zinazowapelekea waislamu waTZ kuona mahitaji ya Mahakama ya Kadhi hivi sasa?
ii. Nini mapendekezo ya waislamu kuhusu muundo wa mahakama ya kadhi na kazi zake?
iii. Ni nini mahusiano yatakayokuwepo na mahakama zengine za nchi? nk, nk
Kama nia yako ni chuki, matusi na dharau tu dhidi ya waislamu basi ujijue kwamba ni wewe uliye:
i. Fitina: Muongo an mueneza chuki na hasama baina ya watu
ii. Gaidi: Unayefurahia umwagaji damu as long as kama japo kabla au pasipo na ushahidi, ugaidi huo utasingiziwa waislamu, wewe inakufurahisha sanaaaaa, zikiwemo hizi roho zilizopotea Uganda.
iii. Mnafiki: Kujidai kupendekeza suluhisho kumbe vile unachochea ugomvi kwa kauli zako kama hapa unapojaribu kuhusisha yaliyotokea Uganda na mapendekezo ya waislamu wa TZ kutaka Mahakama ya Kadhi, wapi na wapi !!! yote hii janja ya kukasirisha waislamu waTZ au siyo??? Hopefully moderators na wanachama jamvini watakufahamu vizuri.
Mwenyezi Mungu akuongoze
Naona umekurupuka tu ku-quote aya ambayo wala hujui mnasaba wake... pole sana.Mahakama za Kadhi ni mlango tu wa kuleta kitu kinachoitwa Islamic Sharia (which is nothing but terrorism-Quran 8:12: Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.)! Remember, Islamization is the process, it starts from moderate Islam (where Muslims are the minority) to Extremism (where Muslims are the majority-this is the real Islam = terrorism)!
Naona umekurupuka tu ku-quote aya ambayo wala hujui mnasaba wake... pole sana.
nasiliza radio wanasema 64 ni dead!
Hawa islamists ni hatari sana,nafikiri target yao ilikuwa south africa,lakini upumbavu wao wanatarget watu wa kawaida kampala,wanaenjoy kinywaji ,hawa washenzi wanaenjoy kuchinja!
Very sad indeed!, i used to be in that Restaurant during my days in Kampala. Hope that will be the waking up call for our security institutions in Tz!
Easy mkuu!!! Sidhani kama ni hekima kufananisha a failed state (Somalia) na nchi yetu, ambayo ina kila haki ya kujivunia kutokana na misingi yake mizuri ya kidemokrasia. Somalia wapo kwenye vurugu za wao kwa wao tangu 1991, na hawana Central Government wala institution yoyote, sasa vipi utaifananisha na Tanzania jamani? Endapo Watanzania watakubali hili suala la Kadhi Courts au la, sioni jinsi gani nchi yetu itafikia Somali ilipo. Tafadhalini jamani, tuangalie the fabric of our society kabla ya kugeneralize mambo.Jamani hayo ndio "matunda" ya Islamic Sharia ambayo Al Shabaab wanataka kuieneza kule Somalia! Ni damu damu damu mtindo mmoja! Washabiki wa Mahakama za Kadhi kwa Tanzania kuweni makini sana na mnachokishabikia! Hao watu wamevaa ngozi za kondoo kwa nje, lakini ndani ni mbwamwitu wakali sana, wanatisha kupita maelezo!