Bomb blasts in Uganda kill World Cup fans...mkono wa Al-Shabaab?

Bomb blasts in Uganda kill World Cup fans...mkono wa Al-Shabaab?

Easy mkuu!!! Sidhani kama ni hekima kufananisha a failed state (Somalia) na nchi yetu, ambayo ina kila haki ya kujivunia kutokana na misingi yake mizuri ya kidemokrasia. Somalia wapo kwenye vurugu za wao kwa wao tangu 1991, na hawana Central Government wala institution yoyote, sasa vipi utaifananisha na Tanzania jamani? Endapo Watanzania watakubali hili suala la Kadhi Courts au la, sioni jinsi gani nchi yetu itafikia Somali ilipo. Tafadhalini jamani, tuangalie the fabric of our society kabla ya kugeneralize mambo.
Ingawa ni kweli kwamba kuna baadhi ya watu wachache ambao wanaweza kutumia mjadala wa KADHI COURTS ili kuleta vurugu, lakini tukumbuke kwamba Tanzania ina STRONG EXECUTIVE, JUDICIARY AND LEGISLATIVE BRANCHES OF GOVT, ambazo japo zina mushkeli, lakini inapobidi kufanya kazi kwa maslahi ya nchi yetu, nipo 100% sure kwamba watafanya hivyo.

Mi nadhani Buchanan yuko sawa kabisa. Kung'ang'nia sharia kwenye nchi ambayo ni secular kama TZ ni dalili za kuelekea kwenye vurugu Somalia au Iraq. Tunazo sheria tosha kabisa na nzuri sana ambazo zina-cut across wote, Waislam, Wakristo na 'confused' kama sisi. Kwanini tusiache hizi sheria zi-operate kama zilivyo, tunaanza kukomalia SHARIA, SHARIA, for what reason? Sisi ambao tuko confused tumeoa wake zetu waislam, sitegemei mtu aje aibuke na SHARIA yake nyumbani kwangu. Vivyo hivyo kuna intermingling kubwa kati ya christians na Islams; kwenye ndoa, shule na maisha ya kawaida. Sasa hiyo Sharia utautumbukiza wapi iweze ku-fit?!

Kwenye stake kama Tanzania kila mtu ana Mungu wake nyumbani kwake. Ukiingia mitaani wote tuko sawa sawa. Tuwaache hao Wasomali na wale kule Jeddah/Makka wakomalie SHARIA kivyaovyao. Afterall, Waislam wengi wametangulia katika haki ya Mungu (wamekufa) wakiwa wameacha Sharia haimo humu nchini. Sidhani kama Mungu atakaa kuwahumu ati kwa kuwa walikuwa nchi ambayo haina Sharia wakati wenye SHARIA wenyewe tunaowajua kama jeddah (SA) na Baghdad bila kusahau Somalia wanapigana miti namna hii Ki-Uganda Uganda! Sana sana Mungu ata-deal squarely wana hawa wa huko Somalia na Middle East kwa kulazimisha watu kufanya wasichotaka!
 
Bongo hamna shida na wala haiwezi kamwe tokea rabsha ya namna hiyo. Tuko kama tulivyo na tutaendelea hivi hivi daima. Take my words.
Uganda usikute ni wapinzaji wa Museveni. He has already overstayed. I don't believe there is no another Ugandan who has better thinking than him. It is time for him to go. So is Kagame.

Meanwhile, for this attack, let us believe it is Al shababs' attack have nothing to do with local politics

Usifikiri hivyo, these things can happen anywhere, so it is better kuwa ready and prepared for anything, everytyme.
 
Usifikiri hivyo, these things can happen anywhere, so it is better kuwa ready and prepared for anything, everytyme.
Kweli, mwaka 1998 hakuna aliyekuwa anadhani kwamba gaidi la kiislamu Osama bin Laden lingelipua ndugu zetu waliokuwa ubalozi wa Marekani!
 
...so africans akifanya kosa basi wote ni sawa tuu,acha upuuzi.

Mbona airport wanapekua kila mtu? Kwani wote wanaosafiri wanataka kuteka ndege nyara au kuzilipua? Wewe kama unawahusudu wamanga rudi nao umangani. Tumechoka kuchinjwa na wamanga. Warudi tuu walikotoka.
 
Mkuu usilojua ni usiku wa kiza. Hao al Shabab umeshajiuliza wanapata wapi silaha na support??

Ningeshauri Tz isijiingize kwene matatizo ya watu wengine maana twajua gharama italipwa na wavuja jasho akina siye tuso na mbele wala nyuma.

Tulijiingiza kwene vita ya ukombozi kusini mwa Africa..WHO REMEMBERS US TODAY??
Too late Tanzania haiwezi kukwepa kuingia kwa sababu hiyo ni Jihad imeanza. Jamaa wote walivurumishwa Iraq na Pakstan wamekimbilia Somalia. Wanaita target East Africa kuhakikisha sharia itatawala.
 
This is interesting!!! Some arguments in here are so simplistic. We have established that this genre of terrorist do not take any prisoners they, lawlessnes is a common denominator to the Al Shabaab...no one is safe. Our borders are porous and they will come in as refugees.

I had said before in a totally different post that Al Shabaab was a threat to EA as a region. We have to have to be vigilant. Like some one said up there no one could have predicted the 1998 bombings in both NBI and DAR, lakini it happened .
Tukae tukijua yakwamba they are likely to strike and will do so with impunity. This is just but a tip of the tip of the iceberg.
 
Too late Tanzania haiwezi kukwepa kuingia kwa sababu hiyo ni Jihad imeanza. Jamaa wote walivurumishwa Iraq na Pakstan wamekimbilia Somalia. Wanaita target East Africa kuhakikisha sharia itatawala.
Hakuna kitu kama hicho..

Hawa wasomali , Waganda na Waethiopia wameenda wenyewe kununua ugomvi USIOWAHUSU. Kipindi kile majeshi ya Ethiopia yameenda kuvamia kule nilimuuliza rafiki yangu mmoja Mu-ethiopia serikali yenu inapata wapi hela na nguvu kujiingiza kwene vita na nchi nyingine na kwa justification ipi? Akajibu hapo kuna dili inachezwa hapo chini ya kapeti baina ya Wamerekani na viongozi wachumia tumboni. Habari ya shariah haipo huko na wala sijasikia wasomali wakitaka kuleta vuguvugu la uislamu nje ya mipaka yao.
 
Wakuu nimesikitishwa na mashambulio yaliyofanywa na Al Shabab ktk jiji la Kampala. Ni ukweli usio pingika kwamba waislam wenye msimamo mkali wa somalia na magaidi kutoka al qaeda wamefanya unyama huo.

Sasa najiuliza waislam wa Tanzania walio andamana na kudai kwamba hata kwa Jihad watapambana kudai kadhi, je ndo wanataka kutukaribishia wahuni hao wasio thamini uhai/kuishi?

Na je, vijana wa kitanzania walio beba mabango yaliyokuwa na ujumbe huo wa jihad wanajua walichokuwa wakimaanisha??
 
Watu 64 wafa kwa bomu Uganda

uganda1.jpg
Waokoaji wakijaribu kunusukru maisha ya majeruhi wa mlipuko wa mabomu nchini Uganda

Kampala-Uganda

TAKRIBANI watu 64 jana wameuawa katika milipuko miwili iliyotokea kwenye mji mkuu wa Uganda, Kampala wakati wakiangalia mechi ya fainali ya mpira wa miguu ya Kombe la Dunia.

Haijajulikana mpaka sasa milipuko hiyo imesababishwa na nini, lakini polisi wamesema ilitokea kwenye klabu ya mchezo wa raga na kwenye mgahawa wakati mashabiki wakiangalia mechi hiyo baina ya Hispania na Uholanzi. Inspekta wa Polisi Kal Kayihura alisema mabomu hayo yalikuwa yakilenga watu waliokusanyika kuangalia Kombe la Dunia.

Kayihura alisema kwamba polisi anaamini kundi la wanamgambo la al-Shabab linahusika na shambulio hilo. Takriban askari 5,000 wa Jeshi la Kulinda Amani kutoka Uganda na Burundi wapo kwenye mji mkuu wa Somalia, Mogadishu kuilinda serikali ya mpito iliyo madarakani. Jeshi hilo limejikuta kwenye mapigano na wanamgambo wanaodhibiti eneo kubwa la Somalia ya kati na kusini.

Watu hao waliofariki walikuwa wanaangalia mechi katika eneo maarufu lijulukanalo kwa jina la Kabalagala and kwenye klabu ya rugby ijulikanyo kwa jina la Kyadondo. “Watu 64 wamethibitishwa kufariki,“ alisema Fred Opolot, msemaji mkuu wa kutoka kitengo cha uhusiano wa umma cha serikali ya Uganda.

Pia alisema watu wengine 57 wamekimbizwa Hospitali ya Taifa ya Mulago baada ya kupata maumivu makali, huku wengine 14 wakiwa wamepata majereha madogo madogo. Rais Yoweri Museveni wa Uganda, ambaye alitembelea eneo la tukio, alistushwa na habari za milipuko hiyo na jana alitarajiwa kutembelea hospitalini hapo kuwaona majeruhi wa ajali hao Msemaji wa polisi Judith Nabakooba alisema uchunguzi unaonyesha unatilia shaka kikundi cha wapiganaji wa kiislamu Al-Shabab nchini Somalia ambako Uganda imetuma majeshi yake kusaidia katika shughuli ya amani chini ya Umoja wa Afrika.

Kundi hilo ambalo linatuhumiwa kuwa na uhusiano na Al Qaeda lilipongeza mashambulio hayo, lakini likakataa kujihusisha na mauaji hayo ya raia wasio na hatia.

Karibu watu 74 walikuwa wamekusanyika kuangalia mechi hiyo ya mwisho ya Kombe la Dunia na milipuko ilitokea kwa wakati mmoja katikati ya mechi hiyo iliyoisha kwa Hispania kushinda kwa bao 1-0 na kutwaa kombe hilo kwa mara ya kwanza kwenye historia yake.

Milipuko hiyo imetokea siku mbili baada ya kamanda wa al-shabab kuagiza mashambulizi nchini Burundi na Uganda, nchi mbili ambazo zimetuma wanajeshi wake nchini Somalia kusimamia amani. Mashambulizi mawili kwa wakati mmoja ni moja ya tabia za kundi la Al Qaeda. Hussein Issa, Nibwene Naighty na mashirika ya habari

Watu 64 wafa kwa bomu Uganda
 
Kiongozi wa Al Shabaab ,Ndugu RAGE amesema hiyo ilikuwa ISLAMIC duty.
Hata tujidai kuwa political correct ,tukubali haya majanga yanatokea kila siku PAKISTAN,Iraq,Afghanistan etc.

74 people wamepoteza maisha kwa kucheck game!Tanzania tusijifanye tuko immune,nao tuna ISLAMISTS wengi kuliko hata Kenya na Uganda.
Tukumbuke bombings za 1998,kuna watanzania wenzetu walishiriki.

Nikiona NGAMIA siku hizi bongo,basi nchi hii inaendelea kubaya
 
Hawa wamanga tusipowafukuza hapa EA watatumaliza. Wamanga wana shukrani ya punda. Tunawapa hifadhi, tunawapa utajiri lakini bado wanatuchinja. Mpaka lini?
Mumeanza tena zumari zenu za kivuvuzela!.Hawa wamanga wanaotajwa wamekaaje?.Labda wanafananishwa na wasomali wanaokataa kutawaliwa kule kwao.

Haya mabomu ya Uganda tusikurupuke kuwashutumu al Shabab hata akitokea kiongozi wa alshabab akafurahia anaweza kuwa hana taarifa zote.Kumbukeni habari ya sept.11 kuna ushahidi mwingi unaoonesha ilikuwa ni mipango maalum iliyotayarishwa ili kuhodhi mafuta na madini kule Afghanistan hata kwa gharama ya vifo vya wamarekani wachache.

Hawa jamaa ni opportunists wanaweza kutumia mgongo wa al shabab kuwashawishi wana JF na viongozi wa EAC kuleta majeshi yao kwa uwazi kirahisi ambapo kabla ya hapo nchi nyingi walikuwa wanasita sita.

Baadhi humu wameshashawishika tuingie vitani kupambana na Alshabab.ati kuzuia wasije wakateka boti ziendazo Zanzibar.Niwaambie hilo litakuwa ni kosa kubwa na hatutoshinda.Jiulizeni kwanini Marekani haijashinda vita vyake vyote pamoja na teknolojia kubwa waliyonayo.Mwenye akili atajuwa kuwa ilichofanya Marekani Iraq,Afghanistan na Pakistan ni kuleta fujo tu.Sababu wengi inaweza kuwa hamuijui kwanini hakuna ushindi,ni kuwa Marekani inafanya dhulma na inapigana na Uislamu ambao una ulinzi mkali.

Hivyo kujiingiza kwetu Somalia kuisaidia Marekani hakutotufaidisha kitu na hatutoshinda.Zaidi itakuwa tumejiingiza kwenye machafuko wenyewe.Hao Alshabab hapo kama kweli wana uawezo wa kufika huku wakapigana nasi wala hawatolaumika.Kwanini mukasaidie kuwatawala na kuwauwa.Ikiwa ni kuteka meli subiri huyo atakayeteka meli mupambane naye.Wao wenyewe karibuni hivi wameuteka mji wa watekaji meli kuonesha kuwa wao hawahusiani na uharamia huo.

Kuhusu hao unaodhani ni wamanga umesema:"Tunawapa hifadhi, tunawapa utajiri lakini bado wanatuchinja".Nani hao munaowapa hifadhi?.Ikiwa ni waislamu kama sisi,wala hakuna anayetupa hifadhi,sisi tumezaliwa hapa hapa na wakristo wa mwanzo kuja Afrika walitukuta na kutuomba msaada.Ukiona miti mirefu na mikongwe kuliko yote kama miembe,minazi na mikarafuu babu wa babu zetu ndio walioileta na kuiotesha.Sisi wenyewe tumekulia chini ya vivuli vya miti hii.Hatufukuziki,anayejaribu kutekeleza uvuvuzela huo atakuwa ameleta fujo tu lisiloisha kwa sababu mapambano yataendelea.
 
Mumeanza tena zumari zenu za kivuvuzela!.Hawa wamanga wanaotajwa wamekaaje?.Labda wanafananishwa na wasomali wanaokataa kutawaliwa kule kwao.
Haya mabomu ya Uganda tusikurupuke kuwashutumu al Shabab hata akitokea kiongozi wa alshabab akafurahia anaweza kuwa hana taarifa zote.Kumbukeni habari ya sept.11 kuna ushahidi mwingi unaoonesha ilikuwa ni mipango maalum iliyotayarishwa ili kuhodhi mafuta na madini kule Afghanistan hata kwa gharama ya vifo vya wamarekani wachache.

Duh! Hivi kuna Watanzania bado ambao hawawezi kufikiri mpaka leo?! Haya mambo huwa mna-discuss wapi na nani anayewapaka upupu hivi? Kuna haja ya kuua watu ili uhodhi mafuta? Kwa leongo gani kuhodhi mafuta kwa namna hiyo? Hakuna njia nyingine ya kuhodhi mafuta? Je baada ya kuhodhi kimetokea nini? Let us be realistic for whatever think and do. Hii mihadhara inalemaza sana watu na kama hutachanganya na akili zako unaweza jikuta ukiongea kama hivi hadharani.
 
Almost two millennia ago, the great Chinese military leader and strategist Zhuge Liang admonished his fellow military men that "when hypocrisy sprouts, even if you have the wisdom of ancient warrior kings you could not defeat a peasant, let alone a crowd of them".

He might have well added that hypocrisy is as harmful for the peasants trying to win a measure of freedom as it is to the king that is trying to defeat them.

Which brings us to a question that too few scholars, policy makers and activists have considered in trying to resolve some of the most frustrating conflicts in the world: What happens when all sides of a conflict are so mired in hypocrisy that no one can steer a path towards some sort of solution?

  • Museven na Pierre Nkurunzinza wamepeleka jeshi Somalia ambapo Al-shabab wanadai kuwa wanaua watoto na wanawake.Ndio maana wao wanalipiza kisasi

  • Al-shabab wametishia kulipua Burundi for the same reason,na siyo kwa sababu ya kuangalia world cup

  • Al-shabab hawakutakiwa kuua raia wasiokuwa na hatia,ilibidi ipigane na jeshi lililovamia huko kwao.But unfortunately hii ndio stratejia inayotumika mara nyingi duniani ili ku frustrate wananchi thereby wa take action against serikali.Hata Museven alitumia njia hii kuingia madarakani,kwa kuvamia public services,kupora pesa from banks etc.

  • Katika dunia ya leo,watu(hususwan politicians) tumekuwa opportunistic sana....mass media zimekuwa media of hypocrisy ...Biasness inazidi our intelligence and common sense.Imani hakuna hata kwa hiyo inayojiita UN...everyone takes his own way to get somewhere in his ambitions
.

UNLESS HYPOCRISY and BIASNESS/PARTISANSHIP ARE FAIRLY DEALT>>>>>>>>>>> wait for more INNOCENT DEATHS and FALLING of the TOO BIG TO FALL
 
Mahakama za Kadhi ni mlango tu wa kuleta kitu kinachoitwa Islamic Sharia (which is nothing but terrorism-Quran 8:12: Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.)! Remember, Islamization is the process, it starts from moderate Islam (where Muslims are the minority) to Extremism (where Muslims are the majority-this is the real Islam = terrorism)!

Basi umefahamika vizuri.

Na ni matarajio ya waTZ humu jamvini, kila mtu wakiwemo mamoderator wetu kama nao wameamka ku-note kuwepo kwako humu jamvini mtu unaetengeneza chuki na hasama baina ya waTZ waislamu na ndugu zao wasiokuwa waislamu kwa kujaribu ku-provoke waislamu waTZ kwa:

i) Ku-twist aya za Qur-ani kwa kumis-quote text za aya badala ya context ya aya hizo katika mtiririko na sherehe sahihi zilizokusudiwa na aya hizo. Hili sio ajali wala bahati mbaya, bali ni kwa makusudi kabisa ili ku-mislead watu.

ii) Kuwasingizia waislmau wa TZ yale wasiokuwa nayo ili kuwa-demonise na kusababisha "fear of nothing" zitakazowafanya waTZ wasiokuwa waislamu kuwa radical, erratic and unreasonable against waTZ wenzao waislmau for anything islamic, ambayo itafuata tit-for-tat itakayopelekea machafuko, kwa furaha yako na waliokutuma.

iii) Kuwakebehi waislamu kwa kuwafananisha na waigaji wa ugaidi, na kudharau initiatives zao za kupendekeza institutions zitakazoshughulikia masuala yao muhimu katika kulinda maaadili ya kimsingi kijamii kama familia, ndoa, mirathi, nk katika hizi karne za utandawazi ambapo maadili mema yanapotea na kubambikwa uchafu wa kimaadili na makafiri kupitia kwa kina Buchanan wanaojificha ndani ya ukristo ndio kunashamiri. Na kuzifananisha juhudi hizi na matayarisho ya ugaidi, jambo ambalo mwenyewe unalijua ni uongo.

Kwa hili tumeshakugundua, tunga uongo na fitina nyengine, ila kumbuka unayoyafanya ni uhalifu kwa maana ni kweli waislamu ni wastahamilivu saaana kwa majadiliano na hoja za uwazi bila ya matusi, uongo na unafiki, fitina na uchokozi, ustaarabu unouiga wewe kutoka kwa hao waliokutuma.
 
Almost two millennia ago, the great Chinese military leader and strategist Zhuge Liang admonished his fellow military men that "when hypocrisy sprouts, even if you have the wisdom of ancient warrior kings you could not defeat a peasant, let alone a crowd of them".

He might have well added that hypocrisy is as harmful for the peasants trying to win a measure of freedom as it is to the king that is trying to defeat them.

Which brings us to a question that too few scholars, policy makers and activists have considered in trying to resolve some of the most frustrating conflicts in the world: What happens when all sides of a conflict are so mired in hypocrisy that no one can steer a path towards some sort of solution?

  • Museven na Pierre Nkurunzinza wamepeleka jeshi Somalia ambapo Al-shabab wanadai kuwa wanaua watoto na wanawake.Ndio maana wao wanalipiza kisasi

  • Al-shabab wametishia kulipua Burundi for the same reason,na siyo kwa sababu ya kuangalia world cup

  • Al-shabab hawakutakiwa kuua raia wasiokuwa na hatia,ilibidi ipigane na jeshi lililovamia huko kwao.But unfortunately hii ndio stratejia inayotumika mara nyingi duniani ili ku frustrate wananchi thereby wa take action against serikali.Hata Museven alitumia njia hii kuingia madarakani,kwa kuvamia public services,kupora pesa from banks etc.

  • Katika dunia ya leo,watu(hususwan politicians) tumekuwa opportunistic sana....mass media zimekuwa media of hypocrisy ...Biasness inazidi our intelligence and common sense.Imani hakuna hata kwa hiyo inayojiita UN...everyone takes his own way to get somewhere in his ambitions
.

UNLESS HYPOCRISY and BIASNESS/PARTISANSHIP ARE FAIRLY DEALT>>>>>>>>>>> wait for more INNOCENT DEATHS and FALLING of the TOO BIG TO FALL

Nimeielewa approach yako.

Mi ushauri wangu ni mdogo tu kuwa Tz itafanya makosa ikijitumbukiza kwenye huu mgogoro, maana pande zinazohusika hazina common sense. Gharama yake italipwa na akina sisi ambao hatuna tulijualo na tupo hoi bin taaban kwa kuchakazwa na umaskini unaosimamiwa na CCM. Mfano wa Uganda ni hai na unapaswa kuzingatiwa.
 
Duh! Hivi kuna Watanzania bado ambao hawawezi kufikiri mpaka leo?! Haya mambo huwa mna-discuss wapi na nani anayewapaka upupu hivi? Kuna haja ya kuua watu ili uhodhi mafuta? Kwa leongo gani kuhodhi mafuta kwa namna hiyo? Hakuna njia nyingine ya kuhodhi mafuta? Je baada ya kuhodhi kimetokea nini? Let us be realistic for whatever think and do. Hii mihadhara inalemaza sana watu na kama hutachanganya na akili zako unaweza jikuta ukiongea kama hivi hadharani.

Acha ku despise your fellow Tanzanians.Hii issue ya 9/11 kuwa ni inside job ina prevail worldwide....even in the white house.
Anthony "Van" Jones, a special advisor for green jobs to the Obama administration, has come under fire for his participation with the "9/11 Truth" movement, which promotes the notion that the September 11, 2001 terrorist attacks were an inside job by the U.S. government. Jones was on the organizing committee for a 2002 "truth" march in San Francisco, and was one of 100 notable signatories of a "9/11 Truth Statement," calling for an investigation into the terrorist attacks.
source
Ni mihadhara gani ilitumika ku shape hao 100 signatories?

Personally I take it as ...conspiracy theory
 
Nimeielewa approach yako.

Mi ushauri wangu ni mdogo tu kuwa Tz itafanya makosa ikijitumbukiza kwenye huu mgogoro, maana pande zinazohusika hazina common sense. Gharama yake italipwa na akina sisi ambao hatuna tulijualo na tupo hoi bin taaban kwa kuchakazwa na umaskini unaosimamiwa na CCM. Mfano wa Uganda ni hai na unapaswa kuzingatiwa.
Gotcha
 
i dont think that playing safe and running away from problems can solve them. the fact that tz has not been threatened, does not mean that we wait till when we get our threat so that we can act, or even try to avoid our neighbours problems so that we stay in peace. in fact, apart from the uganda incident, in kenya, police shot dead a suspect who had over 300 explosive detonators. this shows how insecurity is rising in the ea countries. it would have been better if the ea countries forces would join and deal with these issues jointly.
 
Hakuna suala Joint EAC sijui nini..ugomvi ukiununua ni WAKO. PERIOD.
 
Back
Top Bottom