Bolton :Silaha za North Korea zipelekwe Marekani

Bolton :Silaha za North Korea zipelekwe Marekani

US hataki amani kwenye Peninsula ya Korea, kuwa na amni pale maana yake kunyima makampuni ya silaha ya US furusa ya kuchota pesa kwenye kapu la walipa kodi wa Marekani. Hii haiwezi kukubalika kwa hawa 1% wanaomiliki uchumi wa US
 
Hilo limeshajibiwa tayari,kwamba Korea Kaskazini sio Libya.
Kim amesema mkutano wao hautakuwa wa "ndio mzee" kwanza Trump alitambue hilo,na Kim ameshatishia kujiondoa kwenye mazungumzo ikiwa wataendelea hivyo vitisho vyao.
 
Back
Top Bottom