Kwa wale wapenzi wa mpira Mchezaji wa Bolton mwenye asili ya DRC amezimia uwanjani. Hali yake si nzuri. Mechi kati ya Tottenham na Bolton (FA Cup 1/4 final) imesitishwa.
Source: Live ESPN / Sky sports News
Du hatari,je ana undugu na yule maumba wa ilala aliyekua anawanajisi watoto wadogo?
Du hatari,je ana undugu na yule maumba wa ilala aliyekua anawanajisi watoto wadogo?
Du hatari,je ana undugu na yule maumba wa ilala aliyekua anawanajisi watoto wadogo?
mkuu hali si hali.... raha yote ya kumamosi imetowekaInasikitisha sana maana kuna washaanza kusema kwamba Fabrice kavuta......
Kapata Heart Attack....
mkuu hali si hali.... raha yote ya kumamosi imetoweka
nimegoogle akina foe puerta na wachezaji wenti tu wa other sports especially USA, sad!!