Bolton Aionya Iran

Bolton man of the century in US

Wazalendo km huyu wamebaki wachache sana US
Wamebaki wahuni kina Obama tu

Go bolton make us up proud of US

Where black people live peaceful as the second home after Africa
Really bro?!
Why alot of racism cases are reported in USA !?
Is that how black people live peacefully by been discriminated?!
 
Really bro?!
Why alot of racism cases are reported in USA !?
Is that how black people live peacefully by been discriminated?!
Kwani Africa hambaguani? Hata katika ukoo wenu tu mnaishi kwa kubaguana halafu bado mnataka wamarekani wawapende na kuwajali kama nuapu zao.
Nenda wewe black from Africa kule Marekani uone jinsi blacks wenzako wazawa wa kule watakavyo kunyanyasa na kukudharau wewe wakuja kuliko atakavyo kunysnyasa mzungu.
 
Bolton man of the century in US

Wazalendo km huyu wamebaki wachache sana US
Wamebaki wahuni kina Obama tu

Go bolton make us up proud of US

Where black people live peaceful as the second home after Africa
Huyo ni mzalendo gani wakati ni Chizi anayetaka kuleta maafa duniani.
Siku hivyo vita vikitokea mashariki ya kati ujue utanunua petrol lita moja shilingi elfu kumi
 
Ile Vita italeta mfumuko wa bei ambao haujawahi kutokea.

Bei ya Mafuta ikipanda kila bidhaa nayo itapanda bei,tusiombee vita itokee.

Meli zote zinapita mlango Bahari wa Hormuz.
 
Maneno ya mkosaji. US hawezi toa sanctions mwenyewe tu,eti anawaomba na alliés wake wamsanction Iran.US kama wewe ni mwamba kwa nini unataka na allies wako waiadhibu Iran ? US bila UK,Germany,France si chochote kwa Iran.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom