malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Msaada wenu wakuu wapi ntapata bolt and nuts za mm32 au 30mm inchi 19 kwakariakoo zipo naje zinapatikana
Weee nje ya mada, mbona hujaleta mrejesho wa kile kidondaMsaada wenu wakuu wapi ntapata bolt and nuts za mm32 au 30mm inchi 19 kwakariakoo zipo naje zinapatikana
Mkuu Hali yakidonda Kiko hivi Bado nyama haijaungamaWeee nje ya mada, mbona hujaleta mrejesho wa kile kidonda