hio movie ya drishyam inaonesha jinsi gan kiongozi wa familia (baba) anavyo weza kwenda extra mile ili kulinda heshima na kutetea familia yak, pia usifanye Siri na watu wenye mioyo myepesi kama mtoto wake mdogo alipoona kipigo kimezidi Kwa mama ake ikabidi atoe Siri walipozika maiti sema jamaa alijiongeza kuihamisha.