Bollywood classic movies

mkhande95

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
308
Reaction score
180
Wanajf, mimi in mpenz sana was filamu za kihindi classics yaani nikimaanisha miaka ya kuanzia 50s to 90's. Nimekuwa nikitafuta sites zake lakini sizipati, YouTube huwa zimo tele lakini km mnavyojua filamu zake nyingi zinakuwaga wamezikata yaani sio full length yake. Naombeni km kuna mnaojua sites mnisaidie.
 
Una internet kiasi gani? Una Expect utumie mb ngapi kwa movie?
 
zozote zile kuanzia 480p mpaka 720p...
Kwa quality ya simu 240p mpaka 480p, sema 480p yake inakuwa 640x480p na sio ile ya 800x480p.


Kwa quality kubwa 720p kuendelea tumia torrent Ni rahisi zaidi.

Pia unaweza bahatisha kwenye direct links, search movie husika kwenye search engine ya direct links Hapa

 
shukrani tena mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…