Bollen Ngetti: Taifa linavuja Damu

tumeshajua dawa yenu ndogo tu. Ni mwendo wa kuwabambika kesi za money laundering baasi
Hata nyie ni wafungwa watarajiwa jela haina mwenyewe magodoro waliyolalia wabambikwa ndio mtakayoyalalia.Mtu aliyeelimika huwa atembei gizani.
 
Return Of Undertaker,
Wewe uliniteka hakuna aliyehangaika na wewe sasa naona unatafuta kiki za kutekwa kwa udi na uvumba. Huna mvuto wa kutekwa, endelea kubwabwaja
 
Nimesoma mwanzo mwisho but ngoja tumwachie Mungu kama haya ni ya kweli, Mungu hawez kuruhusu wachache watuharibie nchi yetu hata kama ni watawala lazima awaondoe kwa namna yoyote ile,
Ngoja waje mayuda wa Lumumba hawafikir taifa bali matumbo yao
 

Kadiri wachache wenu, mnaowakilisha matumbo yenu, mnajikita kwenye mitandao ya kijamii, ambayo mnaitumia kuuambia ulimwengu, hasa mataifa ya nje yaliyotutawala kisiasa na sasa kiuchumi, kwamba Tanzania siyo salama, mawazo na hoja zenu zinashia huku huku mitandaoni.

Viongozi wenu ni mashetani ndani ya miili ya binadamu kwani nao wanatumia vyombo vya habari kuikandia Serikali ati inahangaika na maendeleo ya vitu na siyo watu. Nawe unadai ati Miradi inayotatiza uchumi inajengwa bila ridhaa ya umma.

Najiuliza ni kiasi gani wewe na hao viongozi wako mnajua uhusiano kati ya maendeleo ya watu na vitu. Kwa mfano kwa sasa kuna masika yanayoharibu miundo mbinu ya usafiri hasa barabara kunakosababisha hali ngumu ya maisha ya watu ikiwamo kupata hudumu muhimu za maisha (afya na elimu).

Kwamba unadai ati Ninapitia kipindi kigumu sana kiusalama kwa hiyo nafasi inapopatikana ndipo tunaweza kutafakari kama sasa, je, umejiuliza wewe kama wewe una mchango gani kudumisha amani iwapo unatoa madai ya aina hiyo kwa kutumia ID inayokuficha usijulikane wakati unao wawakilishi wako na kuna vikao halali vya kufikisha hayo malalamiko yako badala ya njia hii.

Wewe ni MNAFIKI wa kiwango cha juu. TUNAPOTEZEA na KUKUDHARAU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya!Boleni!Membe mzima?atachukua fomu?wakina msekwa na makamba na msuya wanampango wa kumpitisha membe ndani ya chama?
 
FIRAUNI ALIKUWA KAMA MAGUFULI LAKINI KIKO WAPIII time will tell
 

Kama ww unavyofaidika na Magufuli na kumsifia, hata yeye anafaidika na Membe na ana haki ya kumsifia maana ni mtanzania. Msituchanganye watanzania wote kwenye maslahi yenu binafsi ya hao viongozi.
 
Yana mwisho hayo. Hata Hitler alikuwepo. Yuko wapi sasa? Muda sio mrefu hawa akina koromoje nao watabaki katika historia mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usituharibie nchiyetu kwa njaa yako.kama umeshindwa kuishi kwa uandishi wa habari rudi kwenu kaanze kulima matikiti maji utapata pesa nyingi kuliko kuishi kwa kutaka kuwafurahisha mabwana zako wa nje,kumbuka wao kwao ni salama,lakini wewe sijui ukikimbia kikiumana hapa utakimbia na ukoo wako mzima?acha ujinga Boleni hao wazungu wanakudanganya wao wana yao,usiwe kibaraka wao.
 
H
Kama ww unavyofaidika na Magufuli na kumsifia, hata yeye anafaidika na Membe na ana haki ya kumsifia maana ni mtanzania. Msituchanganye watanzania wote kwenye maslahi yenu binafsi ya hao viongozi.
Huyo Membe wako ana manufaa gani kwetu watu milioni 50?
 
H

Huyo Membe wako ana manufaa gani kwetu watu milioni 50?

Hana manufaa yoyote, ila ninajua yeye ni mtanzania na ana wafuasi wake, kama ww ulivyo mfuasi wa Magu.
 
What is this nonsense?
 
Mkurugenzi wa kanda ya ziwa anayejenga "MAHEKALU" huko Kigamboni ndio yupi huyo? Kiomoni Kibamba au?
 
Hivi unafahamu namna ambavyo Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa na Majiji wanavyojilimbikizia mali katika utawala huu? Ama na wewe ni mmoja wapo kati ya hao? Puumbavu zenu.
 
Wewe kaa huko huko kwa mabwana zako unaodhani ni wema kwako,tuachie Tanzania yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima aanzishe chama,hata kuandika tu ni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…