Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,788
- 4,247
Kumbe sababu kubwa ni Membe hivi magufuli zimwo kweli unamuogopa membe ili iweje kwa mfano wakati una kila kitu? wewe ni rais, majeshi polisi TISS yote yako chama pia wewe ni mwenyekiti si umfukuze membe uwanachama?
HOJA TATU CHANZO CHA KUKAMATWA/KUTEKWA BOLLEN NGETTI.
Bollen Ngetti, Mwanaharakati na Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, aliyetekwa tarehe 23/12/2019 siku ya Jumatatu na watu wasiojulikana, kapatikana leo maeneo ya Tabata Segerea baada ya kuachiwa huru na watu hao wasiojulikana.
Bollen Ngetti, amekuwa akitekwa mara kwa mara kwa kipindi hiki cha miaka takribani 4, Mwanaharakati na Mwandishi huyu wa habari za kiuchunguzi ametekwa mara 3 na kutekwa kwake jana ikiwa ni mara ya 4.
KWANINI BOLLEN NGETTI ANATEKWA SANA?
Hizi ni hoja tatu (3) zilizotajwa na Bollen baada ya kutekwa siku ya Jana Tarehe 23 na kuhojiwa hoja hizi tatu ambazo Bollen Ngetti kataja kwamba zimekuwa zikijirudia sana anapotekwa na watu wasiojulikana.
1. Bollen Ngetti kila anapotekwa, amekuwa akiulizwa mahusiano yake ya kikazi na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje wa Serikali ya awamu ya nne, Ndg. Bernard Kamillus Membe.
2. Bollen Ngetti, anasisitizwa pia kutaja watu anaofanya nao kazi, kazi ambayo watekaji hataki kuiweka wazi!
3. Bollen Ngetti, analazimishwa na watekaji kutaja sehemu ambayo huwa wanafanya vikao, vikao ambavyo Bollen hajui ni kuhusu nini.
Bollen Ngetti anakiri now hayuko sawa kisaikolojia, maana pamoja na kuamua kunyamaza lakini bado amekuwa akiandamwa sana.
Anamalizia kwa kusema "Namuachia Mungu, maana sasa sina amani tena kwenye nchi yangu, naamini ipo siku yatakwisha tu".
Wicked man uloz umetawala kwenye kichwa mpk uone mateso ya wenzio sio kitu kama ambavyo ulifurahia Lissu kupigwa Lissu.Huyo jamaa sijui Ngeti inaelekea siyo smart sana kichwani vinginevyo asingechezea maisha yake kijinga hivyo.
Pia anawasababishia watu mateso makubwa!Membe anawanyima watu usingizi.
Rahisi sana kuongea hivyo kama hayajakukuta haya mambo.Ilitakiwa aamue kuwa liwalo na liwe, unakufa na watano au sita hivi, watanyooka
Watanishindana lakini hawatashinda.
Musiba is very SMART!Smart sana kichwani ni Musiba anaeshinda mitandaoni praising Lawino.
Sasa si wamfukuze kwenye chama kinachowashinda ni nini??
Mimi ingekuwa ni kigezo changu cha kukimbilia kwenda kushi mbele us au FinlandWe unatekwa Mara nne,upo tu,SI uondoke uhame uje huku vijijini
Mambo mengne bhana ni kujichosha tu.Inasikitisha kwakweli.
Lakini Bollen Ngeti ajuwe akitaka kuingia kwenye siasa iwe kwa uandishi au harakati zozote basi ajiandae na akubaliane na mashambulizi ya kila namna kama vile yeye anavyo washambulia watu kwa namna anayoweza yeye yaani kutumia uandishi.
Vingineyo aandike vitu vingine kama waandishi wenzie wasiokumbana na misukosuko kama yake.
Asishambulie watu kwa uandishi na kutegemea hatashambuliwa kujibiwa mashambulizi, wenzie anao washambulia wao wana njia zingine tofauti na uandishi.
Asitafute huruma toka kwa wananchi, akianzisha vita basi apambane mwenyewe.
Kama ametaka kuwa shujaa ni vizuri sasa aendelee na vita alivyo anzisha na sio kuja kulialia. Akifanikiwa itakuwa faida yake binafsi na familia yake.
Huenda hata ameahidiwa kuwa waziri wa habari au afisa habari wa ofisi kubwa kabisa. Mtaka cha uvunguni lazima ....
Shemela umenikumbusha SONG OF LAWINO/OKOLSmart sana kichwani ni Musiba anaeshinda mitandaoni praising Lawino.
Hata Nondo alipotekwa kuna watu kama wewe walisema amejiteka... KASHINDA MARA YA PILI SASA...Mambo mengne bhana ni kujichosha tu.
Mtu anaondoka nyumban kwake anazima simu zake anaenda kwa mchepuko wake wajinga wanaanza kutangaza ametekwa.
Mashuhuda wakat anatekwa ni akina nani?
Yaani jamaa kaenda kwa mchepuko wake kalala siku moja anaweka defence kwa mke wake kwamba katekwa na mijitu inaamini ametekwa..
Kizazi hiki kina shida kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga tunajuanaShemela umenikumbusha SONG OF LAWINO/OKOL
Duh! kumbe sikuizi wasiojulikana ni POLICE?Mambosasa anaishi wapi? Maana ni asikia nyumba yake ndiyo interrogation room