Bolingo nangai

Babu yangu ndiyo alikuwa anapenda kutuimbia kilingala so mpaka kuna baadhi ya maneno tukayakariri yeye alikuwa ni mtu wa kwenda congo anamaliza hata miezi sita ndiyo akajikuta kilingala kikasai anakijua na alikuwa akilewa anatukusanya anaanza kutumbia na mimi nikjikuta napenda nyimbo za kikongo
 
duh! kama anataka kubaka vile
 
Bolingo eza maladie mabe dokotolo nango motema symptoma nango souci.....[emoji444] kasi kisi nayango se presence ya motooyo ozali kolula.....[emoji448] Lokola nalula masiya ye nde kisi nangai....[emoji447]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…