emilwayne
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 265
- 19
Nauza bold 9700 ambayo nimenunua England kwenye company inaitwa 3, hii sio bold feck zinazouzwa tanzania.. RIM huwa wanaleta bidha za quality ya tatu africa and bidha ya quality ya 2 asia and quality ya kwanza u.k and u.s.a, Naiuza and haina tatizo lolote,charge inakaa, ina accesories zote + box lake lipo japo cm siyo mpya saana! Bei ni 400,000,or call 0713079282.. Kumbuka hii ni bold 9700 first quality class